Asanteni kwa mafunzo yenu.

Karibuu usivue viatu,hapa story 2 kula kila mtu kwao...
 
Karib sana na mimi hapa ndio editor mkuu wa hili jukwaa. Majukumu yangu ni pamoja na kusahihisha spelling, kucensor matusi, kuwalinda kinadada wasikuwe abused, kuondosha pumba kwenye sredi, n.k n.k
Nimeowa hapa hapa JF, waifu anaitwa Lizzy.
Karib sana, jiskie upo bangladesh
 
Wala haujachelewa, the better is yet to come! Enjoy with us karibu sana
 

Hehehe,asante sana ila jina lako chungu sanaaaaa.Kumbe Lizzy mkeo?hongera sana.
 
Hehehe,asante sana ila jina lako chungu sanaaaaa.Kumbe Lizzy mkeo?hongera sana.
Asante sana kwa hongera. Na karib tena. Wakikukera sana kunako PM nishtue niwashuhulikie.
 
karibu jamvini jisikie uko London white house.
 
Albina you are warmly welcome, tuendelee kuneemeka! Waweza wakaribisha wote hata wasiojua kidhungu, hili ni jukwaa la kijamii zaidi (la kiTZ zaidi)!!!
 
Hapo tumekujenga lakini hatukuweka siment nyingi so kuwa mwangalifu
 
Haya bana....nitaomba kuambatana nae kwa hizo siku zote atakapokuwa state house!!

Gharama itaongezeka kibongo tunanunua soda moja ya mgen sasa wewe utakubali kumtazama kama upo willing karibu
 

Usiishie JF uje na kanisani kwangu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…