Asanteni kwenu nyote

Asanteni kwenu nyote

Elongolongo

Member
Joined
Oct 29, 2023
Posts
23
Reaction score
26
Habari zenu nyote,

Nashukuru kwa wote ambao mlinishauri kwamba nikasome kozi ya Auto electricity. Na hakika ushauri wenu nitaufanyia kazi.

Ila kwasasa ninaomba kwa yoyote anayefahamu chuo chochote kizuri kilichopo Dar es Salaam ambacho wanafundisha vizuri course ya auto electricity na kwa ufanisi sana, naomba anipe maelekezo tafadhali.

Shukrani!!
 
Back
Top Bottom