Mkalapa boy
Member
- Aug 19, 2021
- 84
- 172
Hi wanaJF
Napenda kuchukua nafasi kuwashuru wamiliki wa MAKAMPUNI ya Mabasi yaendayo mikoni kutuletea huduma yenu Mbagala.
Kwa huku Mbagala tulizoea kuyaona mabasi yaendayo mikoa ya Kusini tu ndiyo inatoa huduma za usafiri na watu wengine wanaotaka kusafiri mikoa mingine lazima udamke saa 9 Hadi 10 alfajiri kuwahi Mbezi au ukalale Mbezi ili uweze kusafiri, lakini kwa sasa mambo ni tofauti basi ziendazo mikoa yote Tanzania zimejaa Terminal Mbagala hatudamki tena saa 9 .
Pongezi kwenu