Habari !
Natoa Shukrani Kwa wote Kwa faraja na ushirikiano ambazo nimeupata kutoka kwenu.
Kilicho fanya furaha yangu kukamilika katika maisha, kuja na kuondoka ( G & G ), imenitesa ila nimeikubali pia ili maisha mengine yaendelee.
Asanteni sana, siwezi taja majina ya mmoja mmoja ila nita mtaja huyu member
Glenn kwasababu neno lake ambalo alinipatia leo mchana lilinitafakarisha (baada ya yeye kulitafakari pia Jana usiku) lime nifundisha kitu ambacho nilikuwa nimesahahu.
Usiku mwema na asanteni Kwa UPENDO