Asanteni sana na nawawakaribisha wana JF

Pretty P

Senior Member
Joined
Dec 27, 2010
Posts
121
Reaction score
20
wapendwa wana jf, natumai mnaendelea vyema na poleni na majukumu. Napenda kuwashukuru wana jf wote waliyo niunga mkono ktk biashara yangu ya mayai ya kuku wa kienyeji, Nimefarijika sana na nawakaribisha wote, mayai yapo mengi tuu na pia wale wahitaji wa modem na simu zipo. Karibuni sana
 
mkuu hujatueleza umefanikiwa vipi, au unafanya marketing ya mayai yako? Funguka mkuu waambie wana jf umefanikiwa vipi ila watu wapate elimu kutoka kwako,
 
Nilikwambia nahitaj modem nipo tbr nitaipataje?
 
wapendwa wana jf, natumai mnaendelea vyema na poleni na majukumu. Napenda kuwashukuru wana jf wote waliyo niunga mkono ktk biashara yangu ya mayai ya kuku wa kienyeji, Nimefarijika sana na nawakaribisha wote, mayai yapo mengi tuu na pia wale wahitaji wa modem na simu zipo. Karibuni sana

Location please.
 
Back
Top Bottom