Asanteni sana Par Omar Jobe na Babacar Sar

Damaso

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2018
Posts
3,978
Reaction score
6,739
Hakuna habari njema iliyokuwa inasubiriwa sana na mashabiki wa mnyama kama habari za THANK YOU YA PAR OMAR JOBE pamoja na THANK YOU YA BABACAR SAR.


Siku 183 zimetosha kabsa kwa Joeboy kuonesha ubora wake Msimbazi huku pia Babacar sarr yeye akihitaji miezi sita! Boss MO yupo kazini kwa hakika! Kaiz iendelee! Asante kwa kazi nzuri Joeboy.
 
Sikuona alichokuwa akifanya Uwanjani zaidi tu ya kurukaruka kama Inzi wa Choo cha Stendi Kuu ya Mabasi Mbezi Louis.
 
UBUNTU BOTHO
Timu Milembe ma RC Nawanda ,mmoja kala kinyeo mwingine kenda polisi kuutangazia umma kwamba kafukuliwa mtaro.Hakimu atamuuliza binti.Wee binti no kweli ulifukuliwa mtaro? Binti atajibu,ndiyo mwesimiwa.Wee RC,ni kweli ulimfukua mtaro mwenzio? je,RC atajibuje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…