Damaso
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 3,978
- 6,739
Hakuna habari njema iliyokuwa inasubiriwa sana na mashabiki wa mnyama kama habari za THANK YOU YA PAR OMAR JOBE pamoja na THANK YOU YA BABACAR SAR.
Siku 183 zimetosha kabsa kwa Joeboy kuonesha ubora wake Msimbazi huku pia Babacar sarr yeye akihitaji miezi sita! Boss MO yupo kazini kwa hakika! Kaiz iendelee! Asante kwa kazi nzuri Joeboy.