Asanteni sana Pilot na Crew wa JamiiForums

Leo kulikuwa na machafuko angani, haki ya hewa siyo salama sana
 
Mnauhakika akiwahiwa atapona kweli?
 
Naona kuna tweet Kule Twitter ya kilichotokea... Anyway

Mungu awe nanyi vijana, muwape ushirikiano wanapowahitaji...
 
Hakika mimi na my co-founder wa Jf Melo, twapaswa kupongezwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…