Asanteni sana Wachezaji Waandamizi Wazawa Wawili Juzi na Jana 'Kuwapiga' Onana na Inonga kwa 'Dharau' zao baada ya 'Kipigo' cha Yanga SC

Asanteni sana Wachezaji Waandamizi Wazawa Wawili Juzi na Jana 'Kuwapiga' Onana na Inonga kwa 'Dharau' zao baada ya 'Kipigo' cha Yanga SC

Pia nikushukuru sana Kipa Aishi Manula kwa kuamua kuwatolea Uvivu Wachezaji wenzako ( Wageni ) hasa Chama na Ntibanzokinza ( tena kwa Kuwatukana vilivyo ) mpaka ukaamuliwa na Waandamizi Wawili Mmoja Kiongozi na Mwingine yuko Benchi la Ufundi.

Wewe Mchezaji Mwandamizi Mzawa wa Simba SC uliyeninyooshea vilivyo Mchezaji Mpuuzi na Mchezaji ninayemchukia Leandre Onana Mwana wako GENTAMYCINE nakuomba tukutane pale Kijiweni Kwako Goba baadae Jioni ili nikupe hata Kuku tu uende ukamchinje na Ujipoze kwani Umenifurahisha mno.

Nawe uliyeninyooshea Inonga tukutane mida mida Mikocheni B kwa Warioba uje nikupe namba ya Demu wake Mmoja Mtanzania ( ambaye anapendwa na Inonga hadi ameanza kusahau Kwao Congo DR ) ili Umtongoze na upite nae mazima Kibaiolojia ili akijua aumie mara Mbili kama alivyotuumiza Sisi wana Simba SC kwa Kutuhujumu Jumapili na Kukutwa na Kimbunga Hatari cha tarehe 5 goli 5.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!

ANGALIZO

Huvutiwi na Taarifa / Habari zangu GENTAMYCINE hapa Jamiiforums njia ni rahisi tu achana na Mimi, usifungue Thread yangu na itapendeza zaidi kama utanibloku ( ignore ) ili tusichoshane na uniachie tu wale Werevu na Wanaonielewa na Kuniamini waendelee Kuhabarika kwa ninayoyaleta hapa ambayo kamwe huwezi kuyapata kwa Kinyankera yoyote yule.

Kuendelea kumsoma na kumfuatilia GENTAMYCINE ambaye kutwa HUMPENDI na HUVUTIWI na UWASILISHAJI wake na HUZIAMINI TAARIFA / HABARI zake kunaonyesha kuwa MOYONI mwako UNAMKUBALI ile mbaya lakini pia una Vijitabia AMINIKA vya MBWA JIKE aliyeko katika Heat na anayelitafuta JIBWA DUME na TUKUKA LIMPANDE na aridhike kwa KUSUUZIKA vilivyo ili atulie.

...................................................................



...

Na nyie Wazee wa Kukopi kila Taarifa / Habari ambazo GENTAMYCINE nazileta hapa oneni Aibu basi hata kidogo kusema / kujifanya ni zenu ( mmeziibua nyie ) wakati kumbe zote ( kwa 100% ) mmezitoa hapa Jamiiforums na Kwangu Mwamba na Mfalme GENTAMYCINE.

Na kama mnajifanya mnajua Kupata / Kuibua Taarifa / Habari za Ndani ( Nyeti ) za Kimichezo nchini mbona kuna Matukio makubwa Mawili ya Ndani na yanafanyika leo Simba SC ( baada ya Kipigo cha Juzi ) na wala hamjaitoa au hamjaileta hapa?

Sasa kwakuwa najua hamuijui na hamna Ubavu wa Kuzijua niamkieni Kwanza GENTAMYCINE, nipigieni Salute na kubalini Mimi ni Mfalme na Mwamba ndiyo nitazileta hapa Jamiiforums kisha mzikopi huko katika Viblogu Blogu vyenu, Mitandaoni na katika Redio zenu mpate Followers zaidi, ila msipofanya hivyo nabaki nazo na Mtadoda huku Mkinuna.

Kudadadeki..!!
King wa jamii sport salute
 
Onyo hujaliona mkuu
Wananitafutaga wenyewe na nilishawaambia hakuna anayeweza Vita ya Maneno nami hata Wawe / Wakiwa 500 kwa wakati Mmoja na Mimi peke yangu hivi bado nitawamudu na Kupambana nao vilivyo.
 
Back
Top Bottom