GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
-
- #21
Aishi Manula amroge na huyu tena kama alivyofanya kwa Lakred. Mtoto mbaya sana huyu yaani ni Duka na Mchawi.Kipa huyo Mousa Camara
Labda kama utacheza wewe.Ha ha ha dili limeota mbawa, huu msimu Simba anaenda ishika nafasi ya 3 au 4.
we huogopi? siyo bwana mdogo GENTAMYCINEAsanteni Simba SC sasa sina deni tena nanyi baada ya kumalizana na mshambuliaji hatari na jibu tosha la ushambuliaji Victorien Adebayor
Yuko njiani kuja nchini Tanzania kumalizana na Tajiri; Tayari ameshafuatwa na Mafia Mkubwa Sasa mtatutambua ok?
Ubaya Ubwela. Kudadadeki!
Huyo ni Valentine Nouma mchezaji toka Burkina FasoValentine Mashaka kumbe ni Msukuma kutoka ughaibuni au mimi ndiye ninajichanganya.
Tukutane 8/8Asanteni Simba SC sasa sina deni tena nanyi baada ya kumalizana na mshambuliaji hatari na jibu tosha la ushambuliaji Victorien Adebayor
Yuko njiani kuja nchini Tanzania kumalizana na Tajiri; Tayari ameshafuatwa na Mafia Mkubwa Sasa mtatutambua ok?
Ubaya Ubwela. Kudadadeki!
Madrid ile Calasticos ya akina Beckham, Figo,Zidane haikuchukua ubingwa La liga..Ngoja tuone hawa Uto maana hawa kibunda huwa kinawasaidia.TUSIPOWAKUNG'UTA 5 TAREHE 8 mods naomba mfute hii Account
View attachment 3058982
Nilidhani ni yule wa Geita Gold.Huyo ni Valentine Nouma mchezaji toka Burkina Faso
Acha wivu wako na account itakapo futwa usiji kulalamika humu.Madrid ile Calasticos ya akina Beckham, Figo,Zidane haikuchukua ubingwa La liga..Ngoja tuone hawa Uto maana hawa kibunda huwa kinawasaidia.
Acha upumbavu....haya futa.Acha wivu wako na account itakapo futwa usiji kulalamika humu.
Onana ameshauzwa leo kwenda QatarKwani wachezaji wa kigeni hawajatimia 12? Si nafasi imeshaisha ya mchezaji wa kigeni?
Popoma ni muongo muongo sana. Akisikia tu story ya kwenye kijiwe cha kahawa! hata kama ni ya uzushi, lazima ataileta humu jukwaani.Porojo poject.
NakaziaPopoma ni muongo muongo sana. Akisikia tu story za kwenye kijiwe cha kahawa! hata kama ni ya uzushi, lazima ataileta humu jukwaani.
Account inayoomba kufutwa hiyo hapo wajameni.Pia na useme maana ya upumbavu.Acha upumbavu....haya futa.
Yaani huwa anajilipua mazima.Popoma ni muongo muongo sana. Akisikia tu story ya kwenye kijiwe cha kahawa! hata kama ni ya uzushi, lazima ataileta humu jukwaani.