Tetesi: Asanteni Simba SC, sina deni tena nanyi baada ya kumalizana na Victorien Adebayor

Tetesi: Asanteni Simba SC, sina deni tena nanyi baada ya kumalizana na Victorien Adebayor

Ha ha ha dili limeota mbawa, huu msimu Simba anaenda ishika nafasi ya 3 au 4.
 
Asanteni Simba SC sasa sina deni tena nanyi baada ya kumalizana na mshambuliaji hatari na jibu tosha la ushambuliaji Victorien Adebayor

Yuko njiani kuja nchini Tanzania kumalizana na Tajiri; Tayari ameshafuatwa na Mafia Mkubwa Sasa mtatutambua ok?

Ubaya Ubwela. Kudadadeki!

we huogopi? siyo bwana mdogo GENTAMYCINE
 
Back
Top Bottom