SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
Wahenga walisema "baraka inaweza kujificha". Siku chache zilizopita Simba ilienda Singida ikakutana na mechi ngumu ya kukamiwa. Walio nyuma ya Singida wakawaahidi wachezaji wao mapesa mengi.
Kilichotokea, wachezaji vijana wa Simba kina Ahoua walizidi kupata experience ya kucheza mengi ngumu ngumu zenye kugongana kwingi. Leo mechi dhidi ya Sfaxien haikuwa na tofauti sana na ile ya Singida. Hata leo refa alikuwa upande wao maana aliwabeba wale waarabu sio poa.
Nawaomba wale wanaotoa ahadi za motisha kwa timu zinazocheza na Simba muendelee kufanya hivyo. Inatusaidia sana.
NYONGEZA 1: Simba ndiyo timu ya KWANZA ya Tanzania kumfunga mwarabu nje ndani.
NYONGEZA 2: Simba ndiyo timu ya kwanza ya Tanzania kumfunga mwarabu nyumbani kwake katika majira ya baridi.
NYONGEZA 3: Leo limefungwa goli la "open play" hausikii milio yoyote ya vyura.
NYONGEZA 4: Binadamu tumeumbwa kusahau. Simba ni timu ya kwanza ya Tanzania kuwekwa katika Pot 1 katika mashindano ya CAF.