ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
Kubali wazi kuwa Kwa Sasa Makolo wanashiriki mashindano ya akina mamaSfaxien imefika nusu fainali ya CAFCL mwaka 2014 yaani miaka 10 tu iliyopita wakati Yanga imeingia hatua ya makundi mwaka jana baada ya miaka zaidi ya 20 na hapo sina uhakika hata hiyo nusu fainali kama umewahi kunusa. Sfaxien pia imechukua ubingwa wa kombe la shirikisho mara 3 kati ya 2007-2013 na kuwa mshindi wa 2 mara moja ndani ya muda huo huo.
Baada ya takwimu hizo, tupe rekodi ya Kengold au ya Yanga kabisa maana tunaweza kuwa tunawaonea Kengold.