Asanteni Singida Big Stars na walio nyuma yenu, mliiandaa Simba kwa mechi ya leo dhidi ya Sfaxien

Kubali wazi kuwa Kwa Sasa Makolo wanashiriki mashindano ya akina mama
 
Akili zenu azipo sawa sawa,,nimewauliza current performance yao kwa sasa ikoje? Iyo historia inawasaidia nini kwa sasa? Timu waliyokuwa nayo kipindi hicho na sasa ni vitu viwili tofauti,,historia aiwezi kukusaidia chochote na Wala aichezi Mpira,,kwasasa ni timu mbovu aitofautiani na kengold kwani sisi ni vipofu atuoni? Aijalishi alifika nusu fainali miaka iyo ingekuwa historia inacheza na inasaidia ingewasaidia kutokuwa na timu mbovu kwa sasa!
 
Timu kubwa zipo CAFCL
Nani anajali mashindano ya shirikisho yaani mashindano ya akina mama

Si Bora tufatilie Mapinduzi cup inayoendelea Zanzibar
wydad,kaizer,usma,rs berkane,zamalek,simba, hizi ni timu kubwa tu Africa ila hazipo CL ila ukubwa wao upo pale
 
wydad,kaizer,usma,rs berkane,zamalek,simba, hizi ni timu kubwa tu Africa ila hazipo CL ila ukubwa wao upo pale
Timu kubwa haiwezi kucheza mashindano ya akina mama
 
Usisahau Na Kumuuliza Na Current Form Ya Tp Mazembe Sawa Braza Kiazi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…