Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona mm sikipati mkuu
Mbona haunipigiii mpenzi?Mie najiunga cha week napewa GB 3,dakika na sms nyingi kwa 5000
Mbona haunipigiii mpenzi?
Hiyo ni ring tone Baby... kuwa makini.Mpenzi kila nikikupigia naambiwa the number is busy....umeniblock e?
Hiyo ni ring tone Baby... kuwa makini.
Siwezi kukublock mamaangu!!Sema ukweli umeniblock 😅
Huwa uko busy kila siku
Saizi yako kila mtu ana ya kwake. Hiyo ni ya mleta mada. Ninkama zike bundle za voda za "Ya kwako tu".