Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mbona hujasema ulifanyaje ,mpk limetoka
hongera sana.furahia ndoaNilisema ya kuwa kuna mtu alijitokeza after ile thread ku-appear, aliniambia kuna mtaalam 1 wa tiba za asili ambaye anaweza kutibu matatizo kama hayo aliyokuwa nayo wife, na after five days hali au hisia wakati wa tendo la ndoa zingemrejea wife na pepo huyo mbaya naye angekuwa ametoka kabisa na kutomsumbua tena wife.
siku hizi analia mnapo -do?
Matola alikushauri vipi?
Nilisema ya kuwa kuna mtu alijitokeza after ile thread ku-appear, aliniambia kuna mtaalam 1 wa tiba za asili ambaye anaweza kutibu matatizo kama hayo aliyokuwa nayo wife, na after five days hali au hisia wakati wa tendo la ndoa zingemrejea wife na pepo huyo mbaya naye angekuwa ametoka kabisa na kutomsumbua tena wife.
na wewe ulishauri vp?