Asanteni Wajumbe wa Kigamboni, Kamati yangu ya 'Wasiojulikana' ya Roho Mbaya CCM Dar es Salaam na Kamati Kuu ya CCM Dodoma 'Mtu' kachinjwa rasmi

aah wapi... huyu lazima atarejeshwa na baba mtu kwa mlango wa uani.

kama hatakuwa RC wa Dar tena au Arusha basi atagewa uwaziri Home Affairs au Defence.

trust me. ain't start partying....yet.
Wewe unachukulia poa wizara ya Ulinzi eh? Ile wizara hawapewi watu wa hovyo hovyo kama Bashite
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…