Maza hasomi chochote yeye huwa ni kusaini tu kwa kuambiwaKuna shida mahali kwenye system huko juu.
Something is very very wrong!
Hata muuza karanga, ana unafuu wa umakini, sembuse nyaraka za nchi.!
Kuna tatizo kubwa zaidi ya neno Tatizo lenyewe.

Maza hasomi chochote yeye huwa ni kusaini tu kwa kuambiwa
Pascal Mayalla mwanasheria njoo na ufafanuzi wa huu mkanganyikoHizi picha mbili (screen shots) zimebeba ujumbe mzito kuliko maneno elfu moja (a picture is worth a thousand words)
Nani angeota ndoto kwamba iko siku uzalendo ungechukua nafasi yake katika kulitetea taifa letu hili?
Nani aliota ndoto kuwa iko siku Watanzania watazinduka kutoka usingizi wa miaka zaidi ya nusu karne?
Kondoo mwenye ujasiri wa kuongoza jeshi la simba ni maradufu ya simba anayeongoza jeshi la kondoo!
Picha ya kwanza...
View attachment 2687502
Picha ya pili...
View attachment 2687506Serikali yetu tayari imeridhia na Bunge letu limebariki
Watanzania Wazalendo tunahoji, je kulikoni?
Ni aibu tupuKabisa , nilishachangiaga huku pale kuna ghalasha
Mjumlishe na faizfox piaPascal Mayalla mwanasheria njoo na ufafanuzi wa huu mkanganyiko
Kwa maana hiyo Rais wetu Mpendwa Mama Samia pia ni Rais wa Dubei? Mbona hamtushtui na sisi tuzamie Dubei kumbe utawala wa Samia unafika hadi Ghuba ya Uajemi?Hizi picha mbili (screen shots) zimebeba ujumbe mzito kuliko maneno elfu moja (a picture is worth a thousand words)
Nani angeota ndoto kwamba iko siku uzalendo ungechukua nafasi yake katika kulitetea taifa letu hili?
Nani aliota ndoto kuwa iko siku Watanzania watazinduka kutoka usingizi wa miaka zaidi ya nusu karne?
Kondoo mwenye ujasiri wa kuongoza jeshi la simba ni maradufu ya simba anayeongoza jeshi la kondoo!
Picha ya kwanza...
View attachment 2687502
Picha ya pili...
View attachment 2687506Serikali yetu tayari imeridhia na Bunge letu limebariki
Watanzania Wazalendo tunahoji, je kulikoni?
Atengue kwanza hao waliomsainisha ma document ya aibu namna hii!Maza hasomi chochote yeye huwa ni kusaini tu kwa kuambiwa