Wananchi wengi wa Israel hawana tofauti na wafuasi wa yale makanisa ya kiroho.
Ambapo mchungaji ananunua kitambaa cha Tsh 500 au maji , au hata tunda, anauza kwa faida ya mara 10 ama 20 kwa kigezo ameombea hio bidhaa....
Wananchi wa Israel wanadanganywa na wanasiasa kama Netanyahu na genge...
Ukichukua Chupa ya lita 1 au lita 1½ ya Plastiki yenye maji ya moto let say 30/35 au 40 degrees Celsius, ukaiweka kweenye ndoo yenye maji ya lita 20 ya baridi.
Utagundua kwamba hii chupa yenye maji ya moto baada ya kuizamisha kwenye ndoo ya lita 20 yenye maji ya baridi kwanza itaenda mpaka...
Jamani kuna ile misemo ya Kiswahili ambayo ukiikumbuka leo unaweza kucheka mwenyewe! 😂
Ukiwa mtoto, kuna maneno au misemo ambayo watu wazima walikuwa wanaitumia, lakini wewe unaielewa kwa maana ya moja kwa moja kabisa, kumbe maana yake ni tofauti.
Wengine tulikuwa tunachukulia misemo hiyo kama...
Tunaishi kwenye dunia ambayo ni rahisi sana kuwa na uelewa ‘mparazo’ wa mambo lakini huna mizizi inayoushikilia uelewa huo. Unaenda YouTube, kwa mfano, unaangalia maelezo mafupi ya mtu akifafanua jambo na tayari unaamini unajua kila kitu kuhusu jambo hilo. Siku hizi unaweza hata kuangalia...
Tumesikia mara nyingi kauli kama
1.Anafanya maamzi kwa mihemko
2.Kukurupuka
3.Kwa kufuata hisia
4.Kwa logic(mantiki)
5.Kwa kufuata upepo(fallacy)
Kwa uelewa wako unatofautishaje kati ya kuamua kwa mantiki na mihemko?
ShesRise_1 Mshana Jr win-one de Gunner Infropreneur et al
Nikiwa mdogo kama walivyo watu wengi kuna mambo unakuwa huyaelewi elewi na kadiri unavyokuwa ndivyo unavyoendelea kupata ufahamu
Nikiwa mdogo nadhani hadi umri wa kidato cha Pili (hapa sio mdogo tena hii ilikuwa imani) tungegombana endapo ungeniambia "nafaa" kuwa mwanajeshi au uniambie nikiwa...
Afya ya akili kwa sasa ni Tatizo kubwa kwa watu wa maofisini na baadhi ya wasomi.
Katika definition simple kabisa Afya ya akili ni excessive characters zinazokutoa kwenye reality ya maisha ya kawaida .
Sijakaa na Katambi kujua hasa specific symptoms zake lakini trend ya matukio yake na...
Kuhusiana na swali hapo juu mimi nimeelewa kuwa CCM ndio maana imekufa na hii imefanya nione kuwa ruling hii ni Determinant factor/test on the knowledge of the ccm sycophants.
Kwanin nasema hivyo kwasababu unaona kuwa uelewa wa machawa ni wa chini mno yani chini mnoo, haelewani what is a...
Kauli ya Heche inaleta dharau isiyostahili kwa viongozi wa Taifa. Kuwaambia “hakuna watu wenye akili na maarifa” si hoja, ni matusi yanayodhalilisha taifa badala ya kujenga. Uongozi una majukumu magumu; kukosoa kwa lugha ya kejeli hudhoofisha heshima ya nchi.
Kwa uwekezaji wa kutoka nje...
KUAMINI NDOA NI MPAKA IFUNGWE KANISANI AU MSIKITINI NI DALILI YA UTUMWA NA UELEWA MDOGO KWA WATU.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
1. Acha Dotto Magari adharau Wasomi. Ingawaje naamini hawadharau kwa mambo mazuri bali kwa baadhi ya ishu walizonazo. Hasa kifikra.
2. Fikiria binti aliyehitimu...
Siyo siri kwa sasa hivi, kiwango cha uelewa na kufikiri kwa mantiki kwa viongozi wetu kimepungua sana miaka ya karibuni.
Sioni kiongozi THINKER, na mwenye uwezo wa kuufikiria umma wa kawaida.
Watu kama Mwalimu Nyerere, watu wenye uwezo wa kufikiria mifumo kama ya kijamaa kwa ajili ya umma...
Kama alitaka kupotosha mahakama Nia yake nini Kwa mshitakiwa
Inakuwaje NENO dogo kama Hilo Jaji anakosa uaminifu je vipi kuhusu hukumu ya kesi yenyewe
Inakuwaje mifumo mikubwa inayoiminika kuwa katika hali hii kwenye kesi kubwa namna hii
Jaji ameleta kifungu namna Lissu alivyolitafsiri...
I hope uko poa mdau wa jamiiforms,Baadhi ya Viongozi waliobalikiwa akili nyingi za kiutambuzi wamekua wakitusanua sana sisi watanzania juu ya mambo mbalimbali .
Mfano ukifuatilia ziara za Viongozi wanatoa kauli kama "Amka Kuna watu wanalionea wivu Taifa letu sababu ya utajiri " "Watanzania...
bado sijaelewa hivi hawa ice ambao wako kwenye news kila mahali tatizo liko wapi? kwa nini stress hizi zoote na maandamano ya kuwapinga, je, wanaonea watu au tatizo ni nini? nilifikiri labda wanafanya control ya watu ambao wako nchini USA illegally au kwa maneno mengine hawakupswa kuwepo USA...
Lipo kundi la vijana la propaganda mitandaonu lililotumwa maalum kubeza, kukejeli na kufubaza harakati zote za ukombozi wa Tanganyika zinazoongozwa na Gen Z
Hili ni kundi mchanganyiko lenye uelewa na maslahi tofauti kwenye hali tuliyo nayo
Wapo wafaidikaji wakuu na wenye maslahi ya moja kwa...
Katika onesho la rangi, ubunifu, na kujifunza, mamia ya watoto wa shule katika Kisiwa cha Pemba huko Zanzibar, walishiriki katika shindano la kunakili bango kwa mkono lililoandaliwa ili kuongeza uelewa wa kichocho, ugonjwa wa vimelea ambao unaendelea kuwa changamoto ya afya ya umma katika maeneo...
Mchambuzi wa siasa na mwanasiasa mkongwe Saidi Miraj amesema kuwa Bunge la Tanzania linapoteza maana yake halisi iwapo halina mijadala yenye upinzani wa kweli na mawazo mbadala yanayowakilisha matakwa ya wananchi.
Akizungumza katika mahojiano maalum na Jambo TV, Miraj amesema kuwa mijadala ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.