Ni Aidha Katambi ana changamoto ya Afya ya Akili au Obsession au amekosa objective na Mission kwenye Wizara yake

Megalodon

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
5,233
Reaction score
12,398
Afya ya akili kwa sasa ni Tatizo kubwa kwa watu wa maofisini na baadhi ya wasomi.

Katika definition simple kabisa Afya ya akili ni excessive characters zinazokutoa kwenye reality ya maisha ya kawaida .

Sijakaa na Katambi kujua hasa specific symptoms zake lakini trend ya matukio yake na obsession zake hakika zina raise concern na kuhoji uwezo wake wa kufikiri, decision making , mental strength , ethical considerations na judgmental.

Wakati mwingine nikimuangalia katambi nina Ona mtu mwenye afya ya akili kwa kipindi kirefu cha miaka ya nyuma: Yaani historically aliwahi kuwa na mental issues just as JPM background.

Niliwahi kushauri kuwa VETTING za utumishi ziwe scientifical - kuna mataahira wengi kwenye public offices halafu wanapewa dhamana kubwa. Ni katambi huyu huyu i think alishawahi kutaka kupigana na raia, mwenye clip aiweke

that should raise suspicion kwenye mamlaka za teuzi.

Behavior za katambi zina fall under category ya Mental diagnosis

huu sio utabiri…, ni probability - 45% ( 0.45) chances Katambi ana fall under Afya ya akili — hayupo sawa ! Utumishi fanyeni scientifical Vetting…

Hii ni mara ya pili mfululizo kila mission anayokuja nayo Katambi kwenye jamii ina create debate kubwa sana juu ya uhalali wake kisheria kufanya hayo

Kwa mfano, observe vema response yake juu ya Dudu baya alipochomoa kwenda kwenye mkutano wake kinyume na taratibu, ethics na uhalali wake wa kufanya hivyo.

I wonder kama huyu waziri anashirikisha wataalam wake na wanasheria wa ndani kabla ya kuja in public…,,

watu wanatekwa kila uchao, polisi wanakamata raia na wanafia mikononi mwao… that doesn’t bother him ….

Ifike time wasanii mpuuze wito wa huuyu mtu anawapotezea muda na anadhalilisha utu wenu mbele ya familia zenu

Dr Megalodon Mushi, MD, Mmed, PhD
University of Ottawa
Canada
Rue 52, downtown
 
Pia Naona kuna kaungu-utu ndani yake
 
Pia Naona kuna kaungu-utu ndani yake
Ana ego trap 🪤
Ume observe vizuri sana

One of the mental issue symptoms ni mtu akiamini kuwa ana mamlaka na ukajaribu kumbishia basi atafanya decision kukuonesha yeye ni ana nguvu zaidi yako , ndio watu wa aina hii wanaweza hata kuua mtu baadae atasema ilikuwa hasira

Kitaalam hizo ni symptoms Tayari , yaani hata mke wake awe makini na mtu huyu
 
Afya ya akili kwa sasa ni Tatizo kubwa kwa watu wa maofisini na baadhi ya wasomi.

Niliwahi kushauri kuwa VETTING za utumishi ziwe scientifical - kuna mataahira wengi kwenye public offices halafu wanapewa dhamana kubwa. Ni katambi huyu huyu i think alishawahi kutaka kupigana na raia, mwenye clip aiweke

that should raise suspicion kwenye mamlaka za teuzi.

Dr Megalodon Mushi, MD, Mmed, PhD
University of Ottawa
Canada
Rue 52, downtown
Mkuu Dr. Megalo, Megalodon , afya ya akili ni tatizo kubwa kwa Watanzania, utafiti ulibaini kwenye kila watu 4, 1 ana changamoto ya afya ya akili!. Niliwahi kuandika humu Kuwa kichaa sio mpaka kuokota makopo!. Je, Tanzania tuna vichaa wengi kuliko tunavyojidhania?!. - JamiiForums

Kwa maoni yangu, hata kilichotokea October 29, kimechangiwa kwa kiasi kikubwa na hooligans wenye changamoto ya afya ya akili, mtu ni mlalahoi, unategemea public transport, una hasira na watawala wanaotumia ma VXR , una vandalize vituo vya mwendokasi!. Hooligans hawa wakakabiliwa na vyombo vya dola vilivyopewa pewa amri ya shoot to kill , nao kutokana na kuwa na kuwa na afya ya akili, waka shoot randomly and sporadically at innocent civillians including little children!.

Na hata baada ya matokeo ya Tume ya Jaji Chande kuonyesha watu 518 waliuwawa, kufuatia changamoto ya afya ya akili, no one felt sorry for what happened!, no one amewajibika, hata wale asikari waliowaua wale todlers, au wale vijana wa Mwanza kwenye kibanda umiza, wote wametulia tuli wakijiona they did the right thing!.

Halafu kama haitoshi, sote tunajua the burden of proof kwenye murder cases, mwananchi gani atamtambua polisi yeyote, aliyefanya shooting!.

P.
 
Ana ego trap 🪤
Ume observe vizuri sana

One of the mental issue symptoms ni mtu akiamini kuwa ana mamlaka na ukajaribu kumbishia basi atafanya decision kukuonesha yeye ni ana nguvu zaidi yako , ndio watu wa aina hii wanaweza hata kuua mtu baadae atasema ilikuwa hasira

Kitaalam hizo ni symptoms Tayari , yaani hata mke wake awe makini na mtu huyu
Mwigulu Madelu NCHEMBA pia ana tatizo hilo kubwa sana. Hana tofauti sana na huyo Kitambi au Katambi.
 
Afya ya akili kwa sasa ni Tatizo kubwa kwa watu wa maofisini na baadhi ya wasomi.

Katika definition simple kabisa Afya ya akili ni excessive characters zinazokutoa kwenye reality ya maisha ya kawaida .

Sijakaa na Katambi kujua hasa specific symptoms zake lakini trend ya matukio yake na obsession zake hakika zina raise concern na kuhoji uwezo wake wa kufikiri, decision making , mental strength , ethical considerations na judgmental.

Wakati mwingine nikimuangalia katambi nina Ona mtu mwenye afya ya akili kwa kipindi kirefu cha miaka ya nyuma: Yaani historically aliwahi kuwa na mental issues just as JPM background.

Niliwahi kushauri kuwa VETTING za utumishi ziwe scientifical - kuna mataahira wengi kwenye public offices halafu wanapewa dhamana kubwa. Ni katambi huyu huyu i think alishawahi kutaka kupigana na raia, mwenye clip aiweke

that should raise suspicion kwenye mamlaka za teuzi.

Behavior za katambi zina fall under category ya Mental diagnosis

huu sio utabiri…, ni probability - 45% ( 0.45) chances Katambi ana fall under Afya ya akili — hayupo sawa ! Utumishi fanyeni scientifical Vetting…

Hii ni mara ya pili mfululizo kila mission anayokuja nayo Katambi kwenye jamii ina create debate kubwa sana juu ya uhalali wake kisheria kufanya hayo

Kwa mfano, observe vema response yake juu ya Dudu baya alipochomoa kwenda kwenye mkutano wake kinyume na taratibu, ethics na uhalali wake wa kufanya hivyo.

I wonder kama huyu waziri anashirikisha wataalam wake na wanasheria wa ndani kabla ya kuja in public…,,

watu wanatekwa kila uchao, polisi wanakamata raia na wanafia mikononi mwao… that doesn’t bother him ….

Ifike time wasanii mpuuze wito wa huuyu mtu anawapotezea muda na anadhalilisha utu wenu mbele ya familia zenu

Dr Megalodon Mushi, MD, Mmed, PhD
University of Ottawa
Canada
Rue 52, downtown
Jukumumama lake ni usalama wa watu na mali zao. Tumpime kwa hilo, mengine ni ziada tu.

Kama wewe na mali zako mko salama hamjabakwa na vibaka usiku maana yake kazi yake haina mashaka.
 
Mwanzo nilidhani ni ushamba unamsumbua lakini kila uchao tunaona ni zaidi ya hilo
Ni kweli anachangamoto ya afya ya akili
Lingine nasikia huyu sawa na Katuga na genge lake ni wahitimu wa shahada za sheria UDSM mayooooo.
 
Afya ya akili kwa sasa ni Tatizo kubwa kwa watu wa maofisini na baadhi ya wasomi.

Katika definition simple kabisa Afya ya akili ni excessive characters zinazokutoa kwenye reality ya maisha ya kawaida .

Sijakaa na Katambi kujua hasa specific symptoms zake lakini trend ya matukio yake na obsession zake hakika zina raise concern na kuhoji uwezo wake wa kufikiri, decision making , mental strength , ethical considerations na judgmental.

Wakati mwingine nikimuangalia katambi nina Ona mtu mwenye afya ya akili kwa kipindi kirefu cha miaka ya nyuma: Yaani historically aliwahi kuwa na mental issues just as JPM background.

Niliwahi kushauri kuwa VETTING za utumishi ziwe scientifical - kuna mataahira wengi kwenye public offices halafu wanapewa dhamana kubwa. Ni katambi huyu huyu i think alishawahi kutaka kupigana na raia, mwenye clip aiweke

that should raise suspicion kwenye mamlaka za teuzi.

Behavior za katambi zina fall under category ya Mental diagnosis

huu sio utabiri…, ni probability - 45% ( 0.45) chances Katambi ana fall under Afya ya akili — hayupo sawa ! Utumishi fanyeni scientifical Vetting…

Hii ni mara ya pili mfululizo kila mission anayokuja nayo Katambi kwenye jamii ina create debate kubwa sana juu ya uhalali wake kisheria kufanya hayo

Kwa mfano, observe vema response yake juu ya Dudu baya alipochomoa kwenda kwenye mkutano wake kinyume na taratibu, ethics na uhalali wake wa kufanya hivyo.

I wonder kama huyu waziri anashirikisha wataalam wake na wanasheria wa ndani kabla ya kuja in public…,,

watu wanatekwa kila uchao, polisi wanakamata raia na wanafia mikononi mwao… that doesn’t bother him ….

Ifike time wasanii mpuuze wito wa huuyu mtu anawapotezea muda na anadhalilisha utu wenu mbele ya familia zenu

Dr Megalodon Mushi, MD, Mmed, PhD
University of Ottawa
Canada
Rue 52, downtown

Anatii Maelekezo pia lazima waisifu Serikali kwa kufanya mazuri ili nchi iwe shwari
 
Liache lidharauliwe na kuonekana stupid na jamii yake. Hio ndio legacy yake.

I think ana matatizo ya akili, lakini yame stem kutokana na yeye kuwa rejected material, si yeye tu bali na serikali anayotumikia, wote wako rejected na wananchi. Hapo ana fight rejection kwa kuwa rebellious kwa wananchi. You don't like me I will show you I don't like you for not liking me. Pathetic!
 
Afya ya akili kwa sasa ni Tatizo kubwa kwa watu wa maofisini na baadhi ya wasomi.

Katika definition simple kabisa Afya ya akili ni excessive characters zinazokutoa kwenye reality ya maisha ya kawaida .

Sijakaa na Katambi kujua hasa specific symptoms zake lakini trend ya matukio yake na obsession zake hakika zina raise concern na kuhoji uwezo wake wa kufikiri, decision making , mental strength , ethical considerations na judgmental.

Wakati mwingine nikimuangalia katambi nina Ona mtu mwenye afya ya akili kwa kipindi kirefu cha miaka ya nyuma: Yaani historically aliwahi kuwa na mental issues just as JPM background.

Niliwahi kushauri kuwa VETTING za utumishi ziwe scientifical - kuna mataahira wengi kwenye public offices halafu wanapewa dhamana kubwa. Ni katambi huyu huyu i think alishawahi kutaka kupigana na raia, mwenye clip aiweke

that should raise suspicion kwenye mamlaka za teuzi.

Behavior za katambi zina fall under category ya Mental diagnosis

huu sio utabiri…, ni probability - 45% ( 0.45) chances Katambi ana fall under Afya ya akili — hayupo sawa ! Utumishi fanyeni scientifical Vetting…

Hii ni mara ya pili mfululizo kila mission anayokuja nayo Katambi kwenye jamii ina create debate kubwa sana juu ya uhalali wake kisheria kufanya hayo

Kwa mfano, observe vema response yake juu ya Dudu baya alipochomoa kwenda kwenye mkutano wake kinyume na taratibu, ethics na uhalali wake wa kufanya hivyo.

I wonder kama huyu waziri anashirikisha wataalam wake na wanasheria wa ndani kabla ya kuja in public…,,

watu wanatekwa kila uchao, polisi wanakamata raia na wanafia mikononi mwao… that doesn’t bother him ….

Ifike time wasanii mpuuze wito wa huuyu mtu anawapotezea muda na anadhalilisha utu wenu mbele ya familia zenu

Dr Megalodon Mushi, MD, Mmed, PhD
University of Ottawa
Canada
Rue 52, downtown
Ni kweli kabisa mkuu, tatizo la afya ya akili ni kubwa sana ndani ya uongozi wa CCM Taifa na hata ndani ya serikali hii. Kwa yale yanayojili ndani ya chama hiki kuna kila sababu ya kuamini 70% hadi 85% ya uongozi wa chama hiki taifa kuna changamoto hii inawakabili.

Toka tukio la umwagaji mkubwa wa damu la October 29, 2025 na siku kadhaa mbele yake, tatizo limekuwa kubwa mpaka wale wenye akili timamu wanaonekana ndiyo wenye changamoto hii mbele ya wenzao. Rejea suala la hisia za viongozi hao kwa Mzee Warioba, Polepole, Gwajima, Simbachawene, na Nchimbi utapata majibu
 
Back
Top Bottom