Ni Aidha Katambi ana changamoto ya Afya ya Akili au Obsession au amekosa objective na Mission kwenye Wizara yake

Ni Aidha Katambi ana changamoto ya Afya ya Akili au Obsession au amekosa objective na Mission kwenye Wizara yake

Kujiita King Kong III ndio ugonjwa wa akili wenyewe. Mbona kaka Pascal Mayalla na Kavulata wanatumia majina yao bila hofu na hawajatekwa pamoja na kukosoa kwao kote wanakofanya?

Pascal ana afya nyema ya akili, the rest ni mauzauza tu. Fear of unknown origin.
Sawa mkuu kama umeweza kujua King Kong III siyo jina langu halisi basi una akili sana.
 
Wahuni wanachoma moto mali kila mji kila mtaa kila miundombinu. UTapeleka mahakamani wangapi? Yaani ukutwe umeua tembo porini halafu utegemee watu wakupeleke mahakamani ukatafute loopholes za kijinga. Hiyo subiri mama yako siku akiwa kiongizi. Sasa huko ICC mbona hamuendi tena?
Sababu hasa ya wahuni kufanya hivyo ni ipi?
 
POlepole ana shida ya afya ya akili nadhani, nani alijua kuwa yuko nchini hapa? Unawezaje kuwa nchini halafu useme yale aliyokuwa akiyasema? Kujiamini kupitiliza ni ugonjwa wa akili unaoitwa overconfidenciasis. Hata nguchilo asingefanya vile. Ukimuona nguchilo ana confidence ya kupitiliza ujue yuko karibu na mashimo yake kwa usalama.
Naona umekubali utekaji upo, polepole alitekwa, mimi najua hilo, wewe unajua hilo! Kutokua na akili nzima kwa polepole hakujustfy kutekwa kwake. Kama umeishiwa tulia, sio Lazima uandike upuuzi.
 
Afya ya akili kwa sasa ni Tatizo kubwa kwa watu wa maofisini na baadhi ya wasomi.

Katika definition simple kabisa Afya ya akili ni excessive characters zinazokutoa kwenye reality ya maisha ya kawaida .

Sijakaa na Katambi kujua hasa specific symptoms zake lakini trend ya matukio yake na obsession zake hakika zina raise concern na kuhoji uwezo wake wa kufikiri, decision making , mental strength , ethical considerations na judgmental.

Wakati mwingine nikimuangalia katambi nina Ona mtu mwenye afya ya akili kwa kipindi kirefu cha miaka ya nyuma: Yaani historically aliwahi kuwa na mental issues just as JPM background.

Niliwahi kushauri kuwa VETTING za utumishi ziwe scientifical - kuna mataahira wengi kwenye public offices halafu wanapewa dhamana kubwa. Ni katambi huyu huyu i think alishawahi kutaka kupigana na raia, mwenye clip aiweke

that should raise suspicion kwenye mamlaka za teuzi.

Behavior za katambi zina fall under category ya Mental diagnosis

huu sio utabiri…, ni probability - 45% ( 0.45) chances Katambi ana fall under Afya ya akili — hayupo sawa ! Utumishi fanyeni scientifical Vetting…

Hii ni mara ya pili mfululizo kila mission anayokuja nayo Katambi kwenye jamii ina create debate kubwa sana juu ya uhalali wake kisheria kufanya hayo

Kwa mfano, observe vema response yake juu ya Dudu baya alipochomoa kwenda kwenye mkutano wake kinyume na taratibu, ethics na uhalali wake wa kufanya hivyo.

I wonder kama huyu waziri anashirikisha wataalam wake na wanasheria wa ndani kabla ya kuja in public…,,

watu wanatekwa kila uchao, polisi wanakamata raia na wanafia mikononi mwao… that doesn’t bother him ….

Ifike time wasanii mpuuze wito wa huuyu mtu anawapotezea muda na anadhalilisha utu wenu mbele ya familia zenu

Dr Megalodon Mushi, MD, Mmed, PhD
University of Ottawa
Canada
Rue 52, downtown
Kwanza mantiki ya kuwaita wasanii akina Dudubaya kwenda Central halafu yeye anajiweka main character, ni udhaifu mkubwa sana wa kiuongozi. Anakurupa mno katika maamuzi yake na mara nyingi hafuati princuples and leadership ethics. Huyu jamaa ni kweli atakuwa na tatizo la afya ya akili.
 
Yupi mwenye changamoto ya akili? Yule aliyebeba bunduki aka shoot to kill ama aliyetoa oda ya kuamrisha waliobeba silaha washoot to kill?
Hakuna amri ya shoot to kill iliyotolewa,amri ni kutuliza ghasia,hivyo wenye changamoto ya afya ya akili ni wale wauaji
P
 
Mwanzo nilidhani ni ushamba unamsumbua lakini kila uchao tunaona ni zaidi ya hilo
Ni kweli anachangamoto ya afya ya akili
Lingine nasikia huyu sawa na Katuga na genge lake ni wahitimu wa shahada za sheria UDSM mayooooo.
Alipokuwa chadema alikuwa bonge la kiongozi. Siasa z hivi ni uchwara
 
Proof Tanzania haiko huru.. kuna utekaji, wewe jichoreshe hapo..
Duniani kote mapinduzi yanazalisha vifo vingi. Waulize huko DRC, sudani, sudan kusini, somalia, uganda, burkina faso, mali, senegal, syria, libya, nk. walikufa wangapi walipotekeleza mapinduzi yao.
 
Duniani kote mapinduzi yanazalisha vifo vingi. Waulize huko DRC, sudani, sudan kusini, somalia, uganda, burkina faso, mali, senegal, syria, libya, nk. walikufa wangapi walipotekeleza mapinduzi yao.
Kwa hio na sisi tufate same route hata kama sio necessary?...mwambie mamako astep down, kwani lazima yeye aongoze?, kuna watu wengi tu wenye good leadership skills...Mapinduzi Mapinduzi gani??!
 
Kwa hio na sisi tufate same route hata kama sio necessary?...mwambie mamako astep down, kwani lazima yeye aongoze?, kuna watu wengi tu wenye good leadership skills...Mapinduzi Mapinduzi gani??!
Hii maana yake unadhani wewe kama wahuni wangefika hadi Ikulu wangefanya nini na nini na nini?

Kwanza waliokufa kwenye vurugu wangeitwa mashujaa wa taifa badala ya milio hii ya sasa unayoisikia. Hii milio ya vifo vifo vifo ni kwaajili ya kupaka rangi kosa lao la mapinduzi lisisike zaidi, lakini hakuna aliyekwenda majumbani akaua watu, waliokufa wote walikuwa wamebeba silaha; moto, viberiti, mawe, visu vya kukatia vidole vya waliopiga kura, mapanga, mashoka, bunduki, fimbo, nk. Hakukua na mtu aliyeshika bango wala tawi la mti mbichi.

Wameminywa kisawasawa hadi waliowatuma wakatoa milio kwenye kila tundu la mwili, they felt guilty.
 
Kwa hio na sisi tufate same route hata kama sio necessary?...mwambie mamako astep down, kwani lazima yeye aongoze?, kuna watu wengi tu wenye good leadership skills...Mapinduzi Mapinduzi gani??!
Kupindua serikali ni kulekule duniani kote, ukijaribu watakudhibiti tu. Huwezi kuchoma nchi halafu wakuache tu, wewe nani!! Kama ukienda kushiriki kwenye mapinduzi aga kabisa familia yako.

Jamaa yetu alisema hii ndio njia ya haraka ya kupata mabadiliko wanayoyataka. Sasa short cut imekuwa long cut. The potential beneficiaries of the coup wanajua sasa kumekucha kadri mtandao unavyozidi kufichuka, ni hatari sana kuwa karibu nao maana teke la mwisho la punda sio mchezo!!

Baada ya leverage kuondolewa sijui itakuwaje sasa.
 
Hii maana yake unadhani wewe kama wahuni wangefika hadi Ikulu wangefanya nini na nini na nini?

Kwanza waliokufa kwenye vurugu wangeitwa mashujaa wa taifa badala ya milio hii ya sasa unayoisikia. Hii milio ya vifo vifo vifo ni kwaajili ya kupaka rangi kosa lao la mapinduzi lisisike zaidi, lakini hakuna aliyekwenda majumbani akaua watu, waliokufa wote walikuwa wamebeba silaha; moto, viberiti, mawe, visu vya kukatia vidole vya waliopiga kura, mapanga, mashoka, bunduki, fimbo, nk. Hakukua na mtu aliyeshika bango wala tawi la mti mbichi.

Wameminywa kisawasawa hadi waliowatuma wakatoa milio kwenye kila tundu la mwili, they felt guilty.
Ungepoteza ndugu ungesema hivi...yote haya kwa kuwa uko kny payroll ya Abdul...nilijua ni taahira ila sikujua wa kiwango hiki...unachefua mpuuzi wewe!
 
POlepole ana shida ya afya ya akili nadhani, nani alijua kuwa yuko nchini hapa? Unawezaje kuwa nchini halafu useme yale aliyokuwa akiyasema? Kujiamini kupitiliza ni ugonjwa wa akili unaoitwa overconfidenciasis. Hata nguchilo asingefanya vile. Ukimuona nguchilo ana confidence ya kupitiliza ujue yuko karibu na mashimo yake kwa usalama.
F_ck U
 
Back
Top Bottom