Ni Aidha Katambi ana changamoto ya Afya ya Akili au Obsession au amekosa objective na Mission kwenye Wizara yake

Afya ya akili kwa sasa ni Tatizo kubwa kwa watu wa maofisini na baadhi ya wasomi.

Katika definition simple kabisa Afya ya akili ni excessive characters zinazokutoa kwenye reality ya maisha ya kawaida .

Sijakaa na Katambi kujua hasa specific symptoms zake lakini trend ya matukio yake na obsession zake hakika zina raise concern na kuhoji uwezo wake wa kufikiri, decision making , mental strength , ethical considerations na judgmental.

Wakati mwingine nikimuangalia katambi nina Ona mtu mwenye afya ya akili kwa kipindi kirefu cha miaka ya nyuma: Yaani historically aliwahi kuwa na mental issues just as JPM background.

Niliwahi kushauri kuwa VETTING za utumishi ziwe scientifical - kuna mataahira wengi kwenye public offices halafu wanapewa dhamana kubwa. Ni katambi huyu huyu i think alishawahi kutaka kupigana na raia, mwenye clip aiweke

that should raise suspicion kwenye mamlaka za teuzi.

Behavior za katambi zina fall under category ya Mental diagnosis

huu sio utabiri…, ni probability - 45% ( 0.45) chances Katambi ana fall under Afya ya akili — hayupo sawa ! Utumishi fanyeni scientifical Vetting…

Hii ni mara ya pili mfululizo kila mission anayokuja nayo Katambi kwenye jamii ina create debate kubwa sana juu ya uhalali wake kisheria kufanya hayo

Kwa mfano, observe vema response yake juu ya Dudu baya alipochomoa kwenda kwenye mkutano wake kinyume na taratibu, ethics na uhalali wake wa kufanya hivyo.

I wonder kama huyu waziri anashirikisha wataalam wake na wanasheria wa ndani kabla ya kuja in public…,,

watu wanatekwa kila uchao, polisi wanakamata raia na wanafia mikononi mwao… that doesn’t bother him ….

Ifike time wasanii mpuuze wito wa huuyu mtu anawapotezea muda na anadhalilisha utu wenu mbele ya familia zenu

Dr Megalodon Mushi, MD, Mmed, PhD
University of Ottawa
Canada
Rue 52, downtow
Mara nyingi wale wanaomini wenzao ni wagonjwa wa Afya ya Akili ukiwachunguza scientifically utagundua wao ndio wagonjwa zaidi.
 
Mkuu Dr. Megalo, Megalodon , afya ya akili ni tatizo kubwa kwa Watanzania, utafiti ulibaini kwenye kila watu 4, 1 ana changamoto ya afya ya akili!. Niliwahi kuandika humu Kuwa kichaa sio mpaka kuokota makopo!. Je, Tanzania tuna vichaa wengi kuliko tunavyojidhania?!. - JamiiForums

Kwa maoni yangu, hata kilichotokea October 29, kimechangiwa kwa kiasi kikubwa na hooligans wenye changamoto ya afya ya akili, mtu ni mlalahoi, unategemea public transport, una hasira na watawala wanaotumia ma VXR , una vandalize vituo vya mwendokasi!. Hooligans hawa wakakabiliwa na vyombo vya dola vilivyopewa pewa amri ya shoot to kill , nao kutokana na kuwa na kuwa na afya ya akili, waka shoot randomly and sporadically at innocent civillians including little children!.

Na hata baada ya matokeo ya Tume ya Jaji Chande kuonyesha watu 518 waliuwawa, kufuatia changamoto ya afya ya akili, no one felt sorry for what happened!, no one amewajibika, hata wale asikari waliowaua wale todlers, au wale vijana wa Mwanza kwenye kibanda umiza, wote wametulia tuli wakijiona they did the right thing!.

Halafu kama haitoshi, sote tunajua the burden of proof kwenye murder cases, mwananchi gani atamtambua polisi yeyote, aliyefanya shooting!.

P.
Well said. Ila vita haina macho kwasababu risasi zinaruka tu bila kutumia GPS, zinaweza kupitiliza shabaha na kutua kokote.
Mwanzo nilidhani ni ushamba unamsumbua lakini kila uchao tunaona ni zaidi ya hilo
Ni kweli anachangamoto ya afya ya akili
Lingine nasikia huyu sawa na Katuga na genge lake ni wahitimu wa shahada za sheria UDSM mayooooo.
Kazi yake kuu ni ulinzi na usalama nchini ili nchi itawalike na watu na wali zao wawe salama, hayo mengine ni mwendelezo wa Oct29. Yaani kusema hakuna maandamano 7/7 ndiyo hana akili?

Ukiona adui yako anakutukana matusi makubwamakubwa furahi maana huo ndio mwisho wake.
 
Afya ya akili kwa sasa ni Tatizo kubwa kwa watu wa maofisini na baadhi ya wasomi.

Katika definition simple kabisa Afya ya akili ni excessive characters zinazokutoa kwenye reality ya maisha ya kawaida .

Sijakaa na Katambi kujua hasa specific symptoms zake lakini trend ya matukio yake na obsession zake hakika zina raise concern na kuhoji uwezo wake wa kufikiri, decision making , mental strength , ethical considerations na judgmental.

Wakati mwingine nikimuangalia katambi nina Ona mtu mwenye afya ya akili kwa kipindi kirefu cha miaka ya nyuma: Yaani historically aliwahi kuwa na mental issues just as JPM background.

Niliwahi kushauri kuwa VETTING za utumishi ziwe scientifical - kuna mataahira wengi kwenye public offices halafu wanapewa dhamana kubwa. Ni katambi huyu huyu i think alishawahi kutaka kupigana na raia, mwenye clip aiweke

that should raise suspicion kwenye mamlaka za teuzi.

Behavior za katambi zina fall under category ya Mental diagnosis

huu sio utabiri…, ni probability - 45% ( 0.45) chances Katambi ana fall under Afya ya akili — hayupo sawa ! Utumishi fanyeni scientifical Vetting…

Hii ni mara ya pili mfululizo kila mission anayokuja nayo Katambi kwenye jamii ina create debate kubwa sana juu ya uhalali wake kisheria kufanya hayo

Kwa mfano, observe vema response yake juu ya Dudu baya alipochomoa kwenda kwenye mkutano wake kinyume na taratibu, ethics na uhalali wake wa kufanya hivyo.

I wonder kama huyu waziri anashirikisha wataalam wake na wanasheria wa ndani kabla ya kuja in public…,,

watu wanatekwa kila uchao, polisi wanakamata raia na wanafia mikononi mwao… that doesn’t bother him ….

Ifike time wasanii mpuuze wito wa huuyu mtu anawapotezea muda na anadhalilisha utu wenu mbele ya familia zenu

Dr Megalodon Mushi, MD, Mmed, PhD
University of Ottawa
Canada
Rue 52, downtown
Nimefurahi kusoma andiko la msomi asiye na uchawa.Umeandika pointi tupu.Wakizingatia haya Taifa litapata watu sahihi.
 
Tuwakumbushe nini wanachotakiwa kufanya kwa jamii au tungoje wakosee tuwaweke ndani?
Ipi ni hekima/
Home affairs ni mama ya kila kitu ikiwemo maadili mema kwa jamii yote na kwa vizazi vijavyo,
#Dr.wa mchongo umenielewa!
 
Well said. Ila vita haina macho kwasababu risasi zinaruka tu bila kutumia GPS, zinaweza kupitiliza shabaha na kutua kokote.
Mtu yeyote kabla hajaruhusiwa kushika silaha,kwanza anafundishwa kulenga. GPO inaelekeza namna ya matumizi ya silaha za moto kutuliza ghasia,unalenga miguuni to destabileze them,not shoot to kill. Wale wauaji wa October 29 ,ni changamoto ya afya akili!
Mtu mwenye akili timamu,hawezi kuua watu kivile!
P
 
Mwanzo nilidhani ni ushamba unamsumbua lakini kila uchao tunaona ni zaidi ya hilo
Ni kweli anachangamoto ya afya ya akili
Lingine nasikia huyu sawa na Katuga na genge lake ni wahitimu wa shahada za sheria UDSM mayooooo.
Tuwakumbushe nini wanachotakiwa kufanya kwa jamii au tungoje wakosee tuwaweke ndani?
Ipi ni hekima/
Home affairs ni mama ya kila kitu ikiwemo maadili mema kwa jamii yote na kwa vizazi vijavyo,
#Dr.wa mchongo umenielewa!
 
Nchi imejaza viongozi kibao ambao hawajui wanafanya nini maofisini
Tuwakumbushe nini wanachotakiwa kufanya kwa jamii au tungoje wakosee tuwaweke ndani?
Ipi ni hekima/
Home affairs ni mama ya kila kitu ikiwemo maadili mema kwa jamii yote na kwa vizazi vijavyo,
#Dr.wa mchongo umenielewa!
 
Afya ya akili kwa sasa ni Tatizo kubwa kwa watu wa maofisini na baadhi ya wasomi.

Katika definition simple kabisa Afya ya akili ni excessive characters zinazokutoa kwenye reality ya maisha ya kawaida .

Sijakaa na Katambi kujua hasa specific symptoms zake lakini trend ya matukio yake na obsession zake hakika zina raise concern na kuhoji uwezo wake wa kufikiri, decision making , mental strength , ethical considerations na judgmental.

Wakati mwingine nikimuangalia katambi nina Ona mtu mwenye afya ya akili kwa kipindi kirefu cha miaka ya nyuma: Yaani historically aliwahi kuwa na mental issues just as JPM background.

Niliwahi kushauri kuwa VETTING za utumishi ziwe scientifical - kuna mataahira wengi kwenye public offices halafu wanapewa dhamana kubwa. Ni katambi huyu huyu i think alishawahi kutaka kupigana na raia, mwenye clip aiweke

that should raise suspicion kwenye mamlaka za teuzi.

Behavior za katambi zina fall under category ya Mental diagnosis

huu sio utabiri…, ni probability - 45% ( 0.45) chances Katambi ana fall under Afya ya akili — hayupo sawa ! Utumishi fanyeni scientifical Vetting…

Hii ni mara ya pili mfululizo kila mission anayokuja nayo Katambi kwenye jamii ina create debate kubwa sana juu ya uhalali wake kisheria kufanya hayo

Kwa mfano, observe vema response yake juu ya Dudu baya alipochomoa kwenda kwenye mkutano wake kinyume na taratibu, ethics na uhalali wake wa kufanya hivyo.

I wonder kama huyu waziri anashirikisha wataalam wake na wanasheria wa ndani kabla ya kuja in public…,,

watu wanatekwa kila uchao, polisi wanakamata raia na wanafia mikononi mwao… that doesn’t bother him ….

Ifike time wasanii mpuuze wito wa huuyu mtu anawapotezea muda na anadhalilisha utu wenu mbele ya familia zenu

Dr Megalodon Mushi, MD, Mmed, PhD
University of Ottawa
Canada
Rue 52, downtown
Ni kweli umemaliza kila kitu Dr.

Katambi ana matatizo ya Afya ya akili.....maamuzi yake ni ya kukurupuka ,aina hii ya viongozi hawafai wanaweza kufanya maamuzi yakaja kuathiri jamii kwa ukubwa...Yaani afande sele ametoa maoni Positive lakini Katambi amepanic sana...Dudubaya kasema hawezi kukaa na mashoga sehemu moja ni maamuzi yake ilitakiwa Katambi kwa busara angemjibu basi aende yeye peke yake na si kuagizwa akamatwe na Dudubaya alivyoona Katambi kapanic(Afya ya akili) ikabidi awaambie maaskari wasimtafute ataenda yeye mwenyewe wasije wakatumia resources nyingi kwa vitu very very very minor.
 
GhfJRpEacAEgTRK.jpeg

Hii picha inaeleza yote juu utimamu wa akili za huyu mshamba
 
Afya ya akili kwa sasa ni Tatizo kubwa kwa watu wa maofisini na baadhi ya wasomi.

Katika definition simple kabisa Afya ya akili ni excessive characters zinazokutoa kwenye reality ya maisha ya kawaida .

Sijakaa na Katambi kujua hasa specific symptoms zake lakini trend ya matukio yake na obsession zake hakika zina raise concern na kuhoji uwezo wake wa kufikiri, decision making , mental strength , ethical considerations na judgmental.

Wakati mwingine nikimuangalia katambi nina Ona mtu mwenye afya ya akili kwa kipindi kirefu cha miaka ya nyuma: Yaani historically aliwahi kuwa na mental issues just as JPM background.

Niliwahi kushauri kuwa VETTING za utumishi ziwe scientifical - kuna mataahira wengi kwenye public offices halafu wanapewa dhamana kubwa. Ni katambi huyu huyu i think alishawahi kutaka kupigana na raia, mwenye clip aiweke

that should raise suspicion kwenye mamlaka za teuzi.

Behavior za katambi zina fall under category ya Mental diagnosis

huu sio utabiri…, ni probability - 45% ( 0.45) chances Katambi ana fall under Afya ya akili — hayupo sawa ! Utumishi fanyeni scientifical Vetting…

Hii ni mara ya pili mfululizo kila mission anayokuja nayo Katambi kwenye jamii ina create debate kubwa sana juu ya uhalali wake kisheria kufanya hayo

Kwa mfano, observe vema response yake juu ya Dudu baya alipochomoa kwenda kwenye mkutano wake kinyume na taratibu, ethics na uhalali wake wa kufanya hivyo.

I wonder kama huyu waziri anashirikisha wataalam wake na wanasheria wa ndani kabla ya kuja in public…,,

watu wanatekwa kila uchao, polisi wanakamata raia na wanafia mikononi mwao… that doesn’t bother him ….

Ifike time wasanii mpuuze wito wa huuyu mtu anawapotezea muda na anadhalilisha utu wenu mbele ya familia zenu

Dr Megalodon Mushi, MD, Mmed, PhD
University of Ottawa
Canada
Rue 52, downtown
Nasikia watuhumiwa wa jinai wamepewa hela ya lunch 😂😂
 
Back
Top Bottom