Atukuzwaye
Senior Member
- Oct 5, 2026
- 191
- 250
Jamani kuna ile misemo ya Kiswahili ambayo ukiikumbuka leo unaweza kucheka mwenyewe! 😂
Ukiwa mtoto, kuna maneno au misemo ambayo watu wazima walikuwa wanaitumia, lakini wewe unaielewa kwa maana ya moja kwa moja kabisa, kumbe maana yake ni tofauti.
Wengine tulikuwa tunachukulia misemo hiyo kama ilivyo, mpaka tulipokua ndipo tukagundua maana yake halisi.
Swali ni hili: Ni msemo gani uliwahi kuuelewa vibaya utotoni, na uliuelewaje kabla ya kugundua maana yake?
Hebu tutajiane hiyo misemo tafadhali tuone nani ana kisa cha kuchekesha zaidi.