Kama ni uchawa basi mm niko tayari kuwa chawa wake, ni kama Maria Sarungi alivyo chawa wa Tundu Lissu au God bless Lema alivyo chawa kwa Mbowe, mimi ni chawa wa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kwanini, nimekuwa nafatilia sana shughuli za bunge na leo asbh naangalia kipindi...
Siku hizi maisha yetu yametawaliwa na sheria na kanuni tunazopata kutoka kwenye maendeleo yetu ya maarifa kwa jinsi tunavyo fikiri na kutafuta ubora wa maisha tunavyo ishi. Vitu vingi tumevichambua kwa faida na hasara kutokana na mahitaji yetu tunavyo hisi tunahitaji kuwa bora. Kila siku...
Nimefuatila ibada mbashara ya kumuweka wakfu Ask. Robert Pangani wa kanisa la Moravian Jimbo la kusini Magharibi - Mbeya ambapo mgeni rasmi ni Mhe. Rais Dr. Samia ambaye amewakirishwa na Naibu Waziri Mkuu. Mkuu huyu wa mkoa ni mweupe kanisa, hajui itifaki, kwanza amepewa nafasi kumkaribisha...
JUMUIYA ya Wazazi na Watu wanaoishi na hali ya kifafa (UWAKITA),imezindua rasmi kampeni za kuhamasisha uelewa juu ya maradhi ya kifafa, yenye kauli mbiu: "Elimika juu ya kifafa,tokomeza unyanyapaa, pata tiba sahihi."
Tukio hilo limefanyika mapema 9 Mei ,2024 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili...
Samahani ndugu zangu, mwenye uelewa kuhusiana na foundation course naomba ufafanuzi, na pia ni vyuo vipi vinavyo toa hiyo course kwa Masomo ya Mathematics na chemistry (Education)
Rais Samia Suluhu Hassan hataki Sheria za nchi ziwe kikwazo kwa watanzania kutumia Sarafu za Kimtandao. Ameyasema haya leo wakati anazindua jengo la BoT Tawi la Mwanza.
Hivyo ameitaka BoT kuandaa mazingira ya kisheria na taratibu nyingine ya wananchi kutumia Sarafu za Kimtandao:- mfano...
Tanzania ni miongoni mwa nchi zenye Sheria inayoruhusu Adhabu ya Viboko kwa Wanafunzi Shuleni licha ya adhabu hiyo kutajwa na kupigwa marufuku kwenye takriban Mataifa 51 ikielezwa kuwa ni ya Kikatili na inayoumiza badala ya kufundisha
Ili kufahamu zaidi, Shirika la Save the Children na WILDAF...
Ni lipi jukwaa ambalo limekupa somo au shule ya maana, ushauri, maarifa, ufahamu na uelewa kutosha au kukukwamua juu ya masuala mbalimbali ya maisha, kisiasa, kiuchumi, kijamii, kitaifa na kimataifa?
Usonji ni changamoto ya Ukuaji ambayo hutokea pale ambapo Ubongo hufanya kazi kwa namna tofauti. Mtoto hupata changamoto hii anapokuwa tumboni na dalili huonekana kuanzia Umri wa Miaka Mitatu na kuendelea
Watu wenye Usonji hupata changamoto hasa za Kuwasiliana Kijamii. Kasi ya kukua kiakili...
Binafsi nadhani kuna haja ya jambo kufanyika ili kuongeza uelewa wa masuala ya kisheria baina ya watanzania. Najua sheria ni noble professional lakini hii haimaanishi ni wale waliosoma sheria tu ndiyo wanapaswa kuijua sheria, NO kila raia anatakiwa awe japo na uelewa wa msingi kuhusu masuala ya...
Habari ndugu zangu,
Naomba kuuliza,hivi ni kweli mtu akichezea kichapo cha kutosha ukimpa maji anaweza kufariki? Na je, kama ni kweli ni kitu gan upelekea hali hiyo.
Mkurugenzi wa Huduma za Afya kutoka Taasisi ya Marie Stopes Tanzania, Dr. Geofrey Sigalla amesema Wanawake wamekuwa waathirika wa uamuzi wanaofanyiwa kwenye suala la huduma za Afya ya Uzazi.
Ameyasema hayo leo Machi 8, 2024 katika maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Wanawake ambayo Taasisi ya...
Nimekaa hapa pembeni ya madhabahu natafakari hili kundi jipya la raia wanaolalamikia dini na kuzihusisha na umasikini wao binafsi na wakitaifa.
Watu hawa ni wale ambao ukiandika chochote kuhusu dini na uweza wa Mungu wataponda na kusema uandike maendeleo dini ni ujinga.
Kwa nini watu hawa...
Mtu mwenye akili ndogo, mwenye roho ya umaskini ni kama mchawi tu.
Furaha yake ni kuona tajiri anashuka sio yeye kupanda. Maskini wa akili na kipato waliufurahia sana utawala wa Magufuli maana walikuwa wanaamini matajiri wanakomeshwa na wataishi katika wimbi la ufukara kama wao kitu ambacho ni...
Mathalani umeomba kazi ya kukuongezea kipato, umeomba mkopo benki au kausha damu, umeomba kura kwenye uchaguzi, umeomba ruhusa kazini au shuleni, umeomba urafiki wa kike au wa kiume, umeomba uchumba au ndoa nakadhalika. Uelewa na Ufahamu wako ukijitosheleza basi utajikuta unajiandaa vizuri sana...
Akiwasilisha maoni mbele ya Kamati ya Bunge kuhusu na Miswada ya Sheria za Uchaguzi iliyowasilishwa na Serikali Bungeni, Askofu Mkuu wa Jimbo la Kanisa Katoliki Dar es Salaam, Askofu Jude Thaddaeus Ruwai'chi amesema Uhuru wa Wajumbe hao unapaswa kutiliwa maanani kwasababu Uteuzi wao unatoka kwa...
JR. FARHAN WA CLOUDS TV HUNA UELEWA WOWOTE KATIKA MAHUSIANO YA MAPENZI; HUWEZI KUMHUDUMIA MWANAMKE ULIYEZAA NAYE BAADA YA KUACHANA NAYE UKABAKI SALAMA.
Anàandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Sijui ulikuwa unatafuta sifa au kiki au vipi. Kama ni Kiki basi upo sahihi na hongera. Lakini kama ni kweli...
Ni huyu mke wa jirani yangu bi chaudele. Hajui kutunza watoto hajui kuangalia watoto wala ndugu na jamaa zake.
yeye ni mtu wa ngoma na ngoma ni zake kijiji hadi kijiji anazunguka kwenda kucheza ngoma. Ukimwona muda wote kapaka wanja wa kungu na anakuwa amekula kungu manga kafunga kibwebwe...
Salamu,
Huenda tutegemee matokeo chanya toka kwa msemaji huyu wa TANESCO Mha. K BOYMANDA
Ikimpendeza afuate nyayo za Yule wa Chama tawala huenda watendaji wazembe katika ngazi za wilaya, mikoa, kanda na vituo vya kufua umeme wataamka Kwa uchapaji kazi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.