stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 40,702
- 41,213
Kwa wale ambao ni wageni forex na wanatamani kuingiza ela,, ni vema ukaanz ana pair KSH/TSH kwa lugha nyepesi unawezaa kuplay part kama wale jamaa wa border na ukatengeneza pesa nzuri, miaka 8 nyuma nlianzaga kutrade ksh/tsh mpakani lakini ata nliondoka bado nliendelea kutrade mjini, issue iko hivi
Tanzania na kenya ni nchi zinazotegemeana kiuchumi, anything can happen lakini ni washirika wa pamoja sana wa biashara, tanzania anauza kenya na kenya anauza tanzania, tuiweke kama ni 50/50 kwa sababu kuna mda kenya wanakua juu kimauzo na kuna mda tz wanakua juu. unlike miaka ya karibuni mizani imelemea upande mmoja lakini bado ni furssa!
so issue iko hivi, ukiona Ksh imesuka sana kuzidi Tsh unaenda byuro unanunua ksh japo sku izi wamezipiga marufuku ila kama utaweza kupata byuro kubwa na imani bado wanazo, then mwezi mmoja baadae utaziuza hizo ksh upewe tsh, rate ya tsh na ksh for the last 10 years ni kuanzia 10tsh mpaka 21tsh, so unaweza kucheza na hizo range! however anything can happen upande wa siasa za ukanda huu ila its a good place kuanza na utatengeneza pesa ya ziada!