Kwa nini uelewa wa haki ni mdogo sana kwa viongozi wengi wa CCM?

Kwa nini uelewa wa haki ni mdogo sana kwa viongozi wengi wa CCM?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
20251013_205641.jpg
 
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
 
Wanasiasa wengi wa CCM ni wajinga kupitiliza.

Kwa ufupi wanasiasa wengi wa Afrika ni wapumbavu kupita kipimo.
 
Back
Top Bottom