Mwenye uelewa na gynecomastia(matiti kwa mwanaume)

May day may day...
20250806_072453.jpg
 
Daah
 
Attachments

  • downloadfile-1.jpg
    downloadfile-1.jpg
    41 KB · Views: 36
Muhimbili?
Kuhusu gharama sina uhakika
Ooh kumbe Muhimbili wanafanya, ni mpya I guess, I checked years back kulikuwa hakuna hii huduma TZ, by the way gharama yake ni ghali sana last time I checked it was over 4500 Euro ilikuwa private hospital in Europe though.
 
Duh mbona parefu hivi.
 
Kama utakuwa umenisoma vizuri Muhimbili nimeiandika katika mfumo wa swali
 
Je umejaribu mazoezi? Una kilo mgapi na mwili wa namna gani?
 
Nilitaka kufahamu gharama ya upasuaji Kwa gynecomastia Kwa Tanzania.
Pia hospital zipi nitapata hiyo huduma?
Fanya mazoezi na kuepuka unene madawa na surgery si suluhu hasa. Jitahidi pia kula vyakula vya kubance hormone zako tambua hauko peke yako wapo wengi na hawajijui zaidi wamejikubali kama sehemu ya maumbile yao.
 
Back
Top Bottom