Wakuu, nilirequest mtonyo wangu uko NSSF ten days ago ambapo nilisubmit all recquirments.
Jana nimeangalia kwa account nimeandikiwa paid lakin nikaenda bank sijaona mtonyo, kwakua leo ni jumapili nmefail kuwafata ofisini hivyo naomba mwenye uelewa na haya mambo anieleweshe nini tatizo hapo...
Tunaomba msaada kwa mwenye kufahamu anayeweza kutuwekea hapa sheria ya fedha za mfuko wa jimbo sura 96 ya mwaka 2006.
Ninaona Halmashauri karibia zote hazijui sheria hiyo na fedha Za mfuko wa jimbo zitakuwa na kutumika na ukoo wa mbunge husika katika jimbo.
Habari,
Mimi ni msomaji wa vitabu na nimekuwa nikisoma vitabu vya kila aina. Changamoto inakuja kwenye hiki kitabu kinachoitwa katiba, licha ya kukisoma mara kwa mara bado nakisoma kama novel kwani kuna baadhi ya maneno siyaelewi.
Naomba utofauti kati ya;
1. IBARA
2. IBARA NDOGO
3. KIFUNGU
4...
Habari wana jamii forum!
Kama title inayojieleza hapo juu, Mwenye vitabu vitakavyosaidia kutanua uelewa wa masuala ya mbinu za vita, ujasusi pamoja na masuala ya intelijensia atupie humu tafadhali.
Ninataka kufanya research & analysing ya hayo maswala sasa kabla sijaanza nahitaji kutanua uelewa...
Kuna jamaa yangu ni mtumishi wa serikali kajiriwa kama mwalimu na kituo chake cha kazi ni halmashauri x na shule x , ana degree ya uhasibu na postgraduate diploma ya ualimu, hivyo kigezo alichoingilia kazini na kumpa ajira ni postgraduade diploma na sasa yupo daraja E anaenda daraja F...
Ukimaindi Poa!
Kuna mijadala ya kipumbavu sana inayooendeshwa na wana CCM mitandaoni, kuna wakati unajiuliza, huyu aliyeandika hiki ana ni mzima kweli au yuko hospital? CCM mna mambo mengi ambayo mngeweza kuyaeleza kwa uongo unaoleta mantiki kidogo kuliko hizi siasa za kitoto za kum-quote Mbowe...
Kuna rafki yangu anataka kufungua a/c kwenye bank yeyote NMB au CRDB ila Sasa hanakitambulisho chochote yaan Cha mpiga kura, Wala NiDA ,Sasa mtu huyo anaweza kufungua a/c?
Habari wakuu nilikua naomba kujua kozi ya B. Com in Human Resources Management vs B.com in Marketing znahusiana na nini na ipi iliyo marketable kidogo? Naomba kuwasilisha.
Mtoto kafanya mtihani wa darasa la Saba mkoa X, kwa sasa amehamia kimakazi mkoa y, kafaulu kwenda kidato cha kwanza.
Je, inawezekana kumhamishia huku aliko kabla selection za Schule hazijatoka? Yaani selection zikitoka apangiwe shule huku aliko badala ya kule alikomalizia drsa la 7?
Naomba...
Elimu niiombayo ni ya tafsiri (maana), muda na namna ya kutumia na sababu ya kuwepo kwao. Nauliza kwa sababu sielewi tu, nilikuwa katika taasisi fulani hv karibuni na kulikuwa na miradi mikubwa na ya haraka.
Sasa unaenda kwa mkaguzi wa ndani (preauditor) anagoma kupitisha ikiwa moja ya nyaraka...
Taifa linapokuwa na wahitimu wa chuo kikuu ambao hata wakikaa mitaani ni kama hawajamaliza form four ni aibu kwa taifa.
Ni lazima wapimwe kwa mitihani ambayo ina vigezo vya kimataifa.
Bahati nzuri dunia nzima masomo ni yaleyale tu.
Sasa kama vyuo vitawalegezea wanafunzi ili waonekane...
Niko kanda ya ziwa,
Nimeshangazwa na kitu kimoja
Watu huku hawajui kama kuna makabila mengine ukiacha yale yanayopotikana kanda yao
Ukisema wewe ni mgogo utaulizwa wagogo kwao ni wapi?makabila makubwa kama wasambaa,wahehe,wangoni,walugulu hawajulikani huku.
Watu hawajuihata Tanga iko wapi...
Huyu Mbunge na naibu Spika....Ni zao la akili mfu zinazojipendekeza sana Serikalini huku zikiumiza raia wake. Huyu bwana na Tarimba huwa mara nyingi ukiwasikiliza unawaza tulimkosea nini Mungu?
Adhabu ambayo tunaipata kwa hawa watu au wa aina hii ni kubwa. Hapo bado hujamsikiliza dr...
Anaandika, Robert Heriel, mwanasheria.
Wewe kama huna cha kurithi kwenu usidhani kila mtu kwao yupo kama wewe.
Vijana wa siku hizi sijui akili wamepeleka wapi. Sio ajabu Faizafoxy anasema; "huko shule mlienda kusomea ujinga",
Kwa kweli wanashangaza. Kama mnashindwa kuelewa mambo madogo kama...
Habari ndugu zangu, kama kichwa cha habari hapo juu naomba anayefahamu vzur shirika hili anifafanulie maana limetangaza baadhi ya post nataka nitupie.
Nijue interview yao wanataka nini?
Benefits( salary)
Allowances
N.k kama kuna mtu ameshapita au ana ndugu anifumbue macho
Nimeanza hatua za awali za maombi ya mkopo na nimepata control number na kufanya malipo lakini hadi sasa sijaweza kuendelea na hatua zinazofuata, kila nikijaribu ku relod inagoma.
Wakati Marekani ikiwa katika harakati za kuishirikisha China ikubali kudhulumu mafuta ya Urusi, ikidai kuwa hilo ndilo takwa la "jumuia ya kimataifa", China imeikebehi Marekani kwa kuweka ramani mbili za dunia zinazoonesha jumuiya ya kimataifa: Moja ambayo ndiyo jumuiya halisi ya kimataifa...
Jamani naombeni msaada wenu mimi nilipotelewa na cheti cha form four mwaka 2001, tangia hapo nimekuwa nikitumia results sleep na lose report Kila mahali panapotakiwa vyeti.
Ila mwezi huu kulifanyika uhakiki wamevikataa hivyo vielelezo na kunitaka necta au notangaze gazetini.
Nilienda necta...
Habari,
Nimekuwa nikipitia mitandao mingi ya Kijamii wachangiaji wakitoa maneno ya kashfa na kuudhi dhidi ya hawa viongozi wetu, ingawa ukipita mitaani hali ni tofauti na kwenye hii mitandao.
Swali ni kwamba kuna vijana huwa wana ajiriwa kwa shughuli hii chafu?
Mwalimu Nyerere na Magufuli ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.