Habari ya mchana ndugu zangu, samahani kwa yeyote anaejua au mwenye taarifa za kutosha kuhusiana na DVB t2 Satellite Receiver anisaidie plz.
Maana nmeckia kuwa ni kin'gamuzi kisichokuwa na malipo ya mwezi ni free channels yaaani una access channels zaidi ya 100 inategema na location Yako lkn...
Habari za leo,Kuna kampuni tajwa hapo yenye makao makuu morogoro inajishughulisha na kulima, yaani unatoa hela ya mtaji Kisha baada ya miezi kadhaa kulingana na zao unapewa hela(mtaji na faida) , naomba anaifaham anisaidie ufafanuzi mi nipo mkoa mwingine ili Kama inafaa niwekeze
Nashukuru
Habari za usiku wanajamii Forums!
Actually Mimi ni mwanafunzi kwenye Field hizi za science kuna kitu Kinaniumiza Moyo Kuwa watu wengi Hawajui kuhusu Ukimwi.
Wengi wanazani Mtu Anapata ukimwi Pale ambapo Akimchubua Muathirika Wakati Anafanya naye Mapenzi, kihivi wengi wanaamini mtu akifanya...
Wakuu nimekuwa nikipokea ujumbe mwingi sana toka Voda unaotaka nijiunge na huduma yao ya bima.Jana wakaenda mbali zaidi wakanipigia simu,walisema wana bima ya Ajali,Kifo,na matibabu.
Nilivutiwa na ya matibabu maana walibambia nitakuwa natuma elfu 4 tu kila mwezi na nikilazwa nitatuma docs zote...
Habari za muda huu
Naomba kuuliza kwa wetu wenye uelewa wa haya masuala
Inapotokea nimeajiriwa na kampuni ya kigeni ambayo mfano ipo Uganda kisha ikafungua tawi lingine hapa Tanzania na kuendesha shughuli zake.
Ikitokea kampuni ikashindwa kujiendesha baada ya muda fulani na kupelekea kufungwa...
Hivi karibuni kumekuwepo na wimbi la watu wengi kupinga mfumo dume kwa kusema, eti uondolewe, hawautaki na ni mfumo wa kikandamizaji. Hii imetokana na propaganda za mashirika ya Ulaya na Marekani kupitia mashirika yasiyo ya kiserikali (NGO'S).
Binafsi nimefanya utafiti na kugundua kuwa baadhi...
Heshima kwenu waungwana
Naomba kujuzwa kwa wenye ufahamu
Hivi mtu anapojaza fomu ya mapunjo kwaajili ya kuchukua michango yake ambayo awali ilikuwa haijawekwa na mwajiri wake je kunakuwa na mzunguko sana katika kujaza hiyo fomu au Kuna unafuu wa ujazaji tofauti na mtu anaenza kujaza fomu za...
Habarini wakuu, poleni na majukumu, kwenye pita pita zangu nimeona hii program na na kupitia guidelines zake. Wenye uelewa naombeni mtueleweshe kwenye ; azimio lake, manufaa kwa jamii na watumishi kwa ujumla. Sisi watumishi wapya wa afya. Maana naona kuna points lazima uwe nazo ilikufanikiwa...
Raisi Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko katika baraza lake la mawaziri ambalo ni lilelile alolirithi kutoka kwa mtangulizi wake hayati Magufuli.
Ni mabadiliko ambayo yanaonyesha kwamba anataka watu wataomsikiliza na walo tayari kufuata akitakacho na si kujitia ujuaji.
Hivyo raisi kaamua...
Wanabodi,
Kuna uwezekano uelewa wa Watanzania walio wengi kuelewa mambo makubwa, ni uelewa finyu, uelewa mdogo, uelewa duni au uelewa wenye mushkeli?. Maana kuna siku niliwahi kuandika makala fulani, kwenye gazeti fulani, kuulizia jambo fulani, tena na alama ya kuuliza ikawekwa!, niliitwa...
Habari za leo wadau wa jf ,bila shaka weekend imekaa poa.
Naomba mwenye uelewa kuhusu kushikiliwa (withhold) kwa matokeo ya darasa la saba kwa baadhi ya shule ,je ni nini hatma ya wanafunzi na vituo vilivyofungiwa? Naomba mwenye uelewa wa mambo hayo.
Nilimsikia waziri mwenye dhamana na Wizara ya mambo ya ndani ambaye alitangaza kuhusu mh Rais kutoa Ajira katika idara mbali mbali za Mambo ya ndani Akasema Uhamiaji wamepewa 350 Jeshi la Zimamoto na Uokoaji wamepewa 250 Magereza 700 Na polisi 1000 Jumla wizara nzima 2300 Kabla ya hapo IGP...
An evarage Tanzanian person is presumed to possess a very little understanding about human phsycology.
Yani kwenye uelewa kuhusu saikoloji ya binadamu, watanzania wengi ni bure kabisa..
Ukitaka kujua kwamba watanzania wengi Wana mafuta ya taa kwenye vichwa vyao Na kwamba Hawana hata uelewa wa...
Teknologia ni moja ya mandeleo makubwa yalioweza kuinua mataifa mengi kiuchumi kwa kuanzisha miradi mbali mbali inayoweza kuimarisha hali ya nchi kwa mfano teknologia imetumika kuvumbua kama ndege na meli ambazo zimesaidia sana kuinua uchumi wa nchi moja hadi nyengine, watu husafirisha bidhaa...
Mimi mara ya kwanza nilikua mpingaji mkubwa wa tozo ya jengo, nilipinga sana nikwa najiuliza kwanini tulipie kodi ya jengo hata ambao tumepanga.
Lakini baada ya kujifikiria kwa kina nimeona huu ni upuuzi watanzania tumezoea kulalamika hovyo.
Nimebadilika ninaunga mkono.
Just imagine wabongo...
Watanzania wengi wamekuwa na uelewa mdogo kuhusu masuala ya Bima na wengi wao wamekuwa wakitafsiri Bima kama kujiongezea gharama za maisha kwa kukatia Bima.
Ndugu zangu habalini za wakati huu, poleni na majukum ya kulijenga taifa.
Niende moja kwa moja ktk mada tajwa hapo juu
Watanzania wengi hususani wa vijijini hawana uelewa wa haki ya kuwawajibisha viongozi wao ktk maswara ya haki zao za kikatiba zinapo shindwa kutekelezwa na viongozi walio...
Chagua swali kisha jibu, nitapitia jibu lako kwa kuweka reaction ("thanks👍" ikiwa umepatia na " Wow😲" ikiwa umekosa).
1/ Which grows faster?
A. Hair
B. Finger
C. Nails
2/ I have a dream
A. Nelson Mandela
B. Barrack Obama
C. Martin Luther King Jr.
3/ In which...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.