Gen Z ndo kizazi bora na cha watu wenye upeo wa juu wa uelewa

Gen Z ndo kizazi bora na cha watu wenye upeo wa juu wa uelewa

Wameona wazazi wao wameshindwa kuwapambania mahitaji yao na kuwatetea dhidi ya mifumo ya kidhalimu sasa wameona acha wajipambanie wenyewe.

Hii hali ya vijana kujiamulia mambo yao kutokana na kufeli kwa mifumo iliyotengenezwa na wazazi wao, ilishawahi kuikumba Marekani miaka ile ya 1920s ,ambapo kipindi hiki kilijulikana kama the Roaring twenties.

Kama wewe ni msomaji wa vitabu ,tafuta World modern History 2nd edition
 
Wameona wazazi wao wameshindwa kuwapambania mahitaji yao na kuwatetea dhidi ya mifumo ya kidhalimu sasa wameona acha wajipambanie wenyewe... Hii hali ya vijana kujiamulia mambo yao kutokana na kufeli kwa mifumo iliyotengenezwa na wazazi wao, ilishawahi kuikumba Marekani miaka ile ya 1920s ,ambapo kipindi hiki kilijulikana kama the Roaring twenties...
Kama wewe ni msomaji wa vitabu ,tafuta World modern History 2nd edition
attach hapa hiyo book.
 
Na ndio kizazi kinachotumika kuwapambania wengine nao wapate nafasi ya kuendesha ma V8 na kujilimbikizia mali za umma ambazo kwa sasa hawazipati
 
Na ndio kizazi kinachotumika kuwapambania wengine nao wapate nafasi ya kuendesha ma V8 na kujilimbikizia mali za umma ambazo kwa sasa hawazipati
Mnajiona ni nyinyi tu na vizazi vyenu ndiyo mna haki ya kuendesha hayo magari ya kifahari na kujilimbikizia mali. Wengine hawatakiwi!! Wabinafsi sana nyinyi viumbe.
 
Gen Z kwa urefu ni Generation Zoomer, yaani ni kazazi cha teknolojia na utandawazi.

Gen Z wengi wanamiliki smartphones hivyo zinawapa platforms nyingi za kupaza sauti zao na kushinikiza serikali kushughulikia matakwa Yao.

Tofauti na vizazi vingine ambavyo havikuwa na platforms za kupaza sauti zao na kunishikiza serikali.
 
hakika
 
Back
Top Bottom