Kiboko ya Mazwazwa
JF-Expert Member
- Feb 22, 2026
- 1,802
- 3,271
Kuhusiana na swali hapo juu mimi nimeelewa kuwa CCM ndio maana imekufa na hii imefanya nione kuwa ruling hii ni Determinant factor/test on the knowledge of the ccm sycophants.
Kwanin nasema hivyo kwasababu unaona kuwa uelewa wa machawa ni wa chini mno yani chini mnoo, haelewani what is a prima facie case? Japo Lissu alitoa darasa moja mujarabu juu ya maana ya prima facie case, Kwa wale waliosoma kitabu Cha SARKER ON LAW OF EVIDENCE watanielewa hapa namaanisha wale huwa nawaita nguruwe au wapigwa miti wanapaswa kukaa mbali. Hivyo Kwa machawa ruling ya leo yanaamini kuwa ametiwa hatiani.
Mwisho narudia machawa mnapaswa kujielimisha tofauti na hapo mtaishia kuzeekea jf.
So naomba wajuvi mnieleze mlichong'amua na nyie juu ya machawa.