Baada ya ruling ya HC kutoka kuhusu kesi Lissu je mmegundua nini juu ya uelewa wa machawa?

Kiboko ya Mazwazwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2026
Posts
1,802
Reaction score
3,271
Kuhusiana na swali hapo juu mimi nimeelewa kuwa CCM ndio maana imekufa na hii imefanya nione kuwa ruling hii ni Determinant factor/test on the knowledge of the ccm sycophants.

Kwanin nasema hivyo kwasababu unaona kuwa uelewa wa machawa ni wa chini mno yani chini mnoo, haelewani what is a prima facie case? Japo Lissu alitoa darasa moja mujarabu juu ya maana ya prima facie case, Kwa wale waliosoma kitabu Cha SARKER ON LAW OF EVIDENCE watanielewa hapa namaanisha wale huwa nawaita nguruwe au wapigwa miti wanapaswa kukaa mbali. Hivyo Kwa machawa ruling ya leo yanaamini kuwa ametiwa hatiani.

Mwisho narudia machawa mnapaswa kujielimisha tofauti na hapo mtaishia kuzeekea jf.
So naomba wajuvi mnieleze mlichong'amua na nyie juu ya machawa.
 
Kazi ya uchawa haihitaji uwe umesoma sarker on law of evidence wala kujua vifungu vya sheria. Requirements zao ni mbili tu, uwezo wa kusifu kila kitu na kupiga makelele kama wehu tu huko majukwaani.
 
Nami naomba kuongezea.

Pia wanatakiwa wawe na ni masikini wa kutupwa ili waone kuwa bila ya "kumchawia" fulani, maisha yao yatakuwa hatarini.

Umasikini wa akili (ukilaza) ni sifa nyingine ya kuwa chawa.
 
Hawajui kuna udhalilishaji mwingine unakuja siku za usoni, huku baadhi ya mashahidi wa mtuhumiwa tukishuhudia wakianza kutetewa kwa nguvu kubwa na mawakili wa upande wa mashataka, kutohudhuria mahakamani!
 
Kuhusiana na swali hapo juu mimi nimeelewa kuwa CCM ndio maana imekufa na hii imefanya nione kuwa ruling hii ni Determinant factor/test on the knowledge of the ccm sycophants.

Kwanin nasema hivyo kwasababu unaona kuwa uelewa wa machawa ni wa chini mno yani chini mnoo, haelewani what is a prima facie case? Japo Lissu alitoa darasa moja mujarabu juu ya maana ya prima facie case, Kwa wale waliosoma kitabu Cha SARKER ON LAW OF EVIDENCE watanielewa hapa namaanisha wale huwa nawaita nguruwe au wapigwa miti wanapaswa kukaa mbali. Hivyo Kwa machawa ruling ya leo yanaamini kuwa ametiwa hatiani.

Mwisho narudia machawa mnapaswa kujielimisha tofauti na hapo mtaishia kuzeekea jf.
So naomba wajuvi mnieleze mlichong'amua na nyie juu ya machawa.
Wa kwanza ambaye ni Zero brain ni huyu THE BIG SHOW na Tlaatlaah na Lucas Mwashambwa

Yamekuja na nyuzi kibao kwenye social media eti "Tunaishukuru mahakama kwa kumtia hatiani Tundu Lissu..!!🤪🤪🤪🤣🤣

They're totally stupid idiots
 
ccm wapumbavu sana wanalijaribu taifa na wanaichafua nchi yetu kabla hawajaondoka madarakani.
 
Wa kwanza ambaye ni Zero brain ni huyu THE BIG SHOW na Tlaatlaah na Lucas Mwashambwa

Yamekuja na nyuzi kibao kwenye social media eti "Tunaishukuru mahakama kwa kumtia hatiani Tundu Lissu..!!🤪🤪🤪🤣🤣

They're totally stupid idiots
my friends, ladies and gentleman in politics,

I told you earlier today that,
Kibaraka has a case to answer, and I would also like to confirm to you without fear of contradictions that Kibaraka is going to be sentenced to life in prison and hanged until death.

tell your colleagues that this is not a prediction, it is a reality. :NoGodNo:
 
Kuhusiana na swali hapo juu mimi nimeelewa kuwa CCM ndio maana imekufa na hii imefanya nione kuwa ruling hii ni Determinant factor/test on the knowledge of the ccm sycophants.

Kwanin nasema hivyo kwasababu unaona kuwa uelewa wa machawa ni wa chini mno yani chini mnoo, haelewani what is a prima facie case? Japo Lissu alitoa darasa moja mujarabu juu ya maana ya prima facie case, Kwa wale waliosoma kitabu Cha SARKER ON LAW OF EVIDENCE watanielewa hapa namaanisha wale huwa nawaita nguruwe au wapigwa miti wanapaswa kukaa mbali. Hivyo Kwa machawa ruling ya leo yanaamini kuwa ametiwa hatiani.

Mwisho narudia machawa mnapaswa kujielimisha tofauti na hapo mtaishia kuzeekea jf.
So naomba wajuvi mnieleze mlichong'amua na nyie juu ya machawa.
Hawa hamna kitu mkuu, bahati nzuri kwangu wote nilisha wa puuza hapa jf hivyo sipati tena shida ile ya mwanzo ya kusoma comment a mada zao!

Hata kama wanajitoa ufahamu ili kutetea chama, rais na serikali ila kwa kweli upeo wao ni mdogo mno .
 
wako mkubwa umekusaidia nini?

ebu toka hapo sebuleni kwa shemj unalala bure
 
my friends, ladies and gentleman in politics,

I told you earlier today that,
Kibaraka has a case to answer, and I would also like to confirm to you without fear of contradictions that Kibaraka is going to be sentenced to life in prison and hanged until death.

tell your colleagues that this is not a prediction, it is a reality. :NoGodNo:
kesi haijaisha mjuba, tulia utapopolewa mawe, unaishukuru mahakama wakati kesi bado haijafika mwisho
 
Mmoja alisema ugomvi wa TEC na serikali ni kuhusu bandari katika mkataba wa MOU, 😅

Kuanzia siku hiyo nilielewa tunadeal na watu wa aina gani. 🚮
 
Kazi ya uchawa hutakiwi kua na akili kwanza au ukiwa ka
Akili yako usitumie vizuri akili yako angalia Kabudi
 
my friends, ladies and gentleman in politics,

I told you earlier today that,
Kibaraka has a case to answer, and I would also like to confirm to you without fear of contradictions that Kibaraka is going to be sentenced to life in prison and hanged until death.

tell your colleagues that this is not a prediction, it is a reality. :NoGodNo:
"that Kibaraka is going to be sentenced to life in prison and hanged until death."
Wewe ndo unathibitisa usahihi wa mleta mada.
 
my friends, ladies and gentleman in politics,

I told you earlier today that,
Kibaraka has a case to answer, and I would also like to confirm to you without fear of contradictions that Kibaraka is going to be sentenced to life in prison and hanged until death.

tell your colleagues that this is not a prediction, it is a reality. :NoGodNo:

Mahakama imempiga miti tundu lisu

Hachomoi ile
 
Kuhusiana na swali hapo juu mimi nimeelewa kuwa CCM ndio maana imekufa na hii imefanya nione kuwa ruling hii ni Determinant factor/test on the knowledge of the ccm sycophants.

Kwanin nasema hivyo kwasababu unaona kuwa uelewa wa machawa ni wa chini mno yani chini mnoo, haelewani what is a prima facie case? Japo Lissu alitoa darasa moja mujarabu juu ya maana ya prima facie case, Kwa wale waliosoma kitabu Cha SARKER ON LAW OF EVIDENCE watanielewa hapa namaanisha wale huwa nawaita nguruwe au wapigwa miti wanapaswa kukaa mbali. Hivyo Kwa machawa ruling ya leo yanaamini kuwa ametiwa hatiani.

Mwisho narudia machawa mnapaswa kujielimisha tofauti na hapo mtaishia kuzeekea jf.
So naomba wajuvi mnieleze mlichong'amua na nyie juu ya machawa.
THE BIG SHOW Ritz Mlienda shule kujifunza ujinga?
Mnashangalia nini mashena Ubwabwa wa tende na mbuzi zz Saudia?
 
Back
Top Bottom