Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Asec ameshinda mabao 2 0 ugenini leo, nini maana yake? Ameshaokota pointi 7 now, mechi 3 alizobakisha mbili atakuwa nyumbani, atacheza na Gwanengy kwake na atamalizia na Simba, hao wote atawaua maana wana moto sio wa kawaida.
Gwanengy ana point 4, mechi 2 anatoka, anamfuata Simba ambaye hajielewi, anamfuata Asec ambaye ni wa moto, atacheza na Wydad kwake pale Botswana.
Ili Simba afuzu ni lazima leo aidha atoke sare au amuue Wydad mwa sababu Wydad akishinda leo atakuwa na 3, atamsubiri Asec pale Morocco anaweza kumfunga akawa na 6, anakwenda kumbabua Gwanengy pale pale Botswana anakuwa na 9, hapa Taifa na Simba kwa sababu Simba haieleweki anaweza kukamata sare, hapo ndio utakuwa mwisho wa Simba.
Ili Simba afaulu ahakikishe leo hapotezi kule Morocco lakini ataweza? Simba anatakiwa hapa nyumbani basi amfunge Wydad kama leo atafungwa ili wagawane mbao, yaan Simba akishinda hapa bongo mechi zake 2 anaweza kufuzu lakn leo ahakikishe hafungwi, changamoto Wydada leo hawezi kuvuliwa ubingwa iwe isiwe.