Asec Mimosas ameshafuzu kundi la Simba, kazi ipo kwa Wydad, Simba na Jwaneng Galaxy

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Asec ameshinda mabao 2 0 ugenini leo, nini maana yake? Ameshaokota pointi 7 now, mechi 3 alizobakisha mbili atakuwa nyumbani, atacheza na Gwanengy kwake na atamalizia na Simba, hao wote atawaua maana wana moto sio wa kawaida.

Gwanengy ana point 4, mechi 2 anatoka, anamfuata Simba ambaye hajielewi, anamfuata Asec ambaye ni wa moto, atacheza na Wydad kwake pale Botswana.

Ili Simba afuzu ni lazima leo aidha atoke sare au amuue Wydad mwa sababu Wydad akishinda leo atakuwa na 3, atamsubiri Asec pale Morocco anaweza kumfunga akawa na 6, anakwenda kumbabua Gwanengy pale pale Botswana anakuwa na 9, hapa Taifa na Simba kwa sababu Simba haieleweki anaweza kukamata sare, hapo ndio utakuwa mwisho wa Simba.

Ili Simba afaulu ahakikishe leo hapotezi kule Morocco lakini ataweza? Simba anatakiwa hapa nyumbani basi amfunge Wydad kama leo atafungwa ili wagawane mbao, yaan Simba akishinda hapa bongo mechi zake 2 anaweza kufuzu lakn leo ahakikishe hafungwi, changamoto Wydada leo hawezi kuvuliwa ubingwa iwe isiwe.
 
Simba na waydad wanacheza mfululizo mechi zote mbili kwanza.. ndipo simba atacheza na jwaneng na ya mwisho na Aisec.

Simba anacheza na Waydad leo na jumamosi ijayo tena simba anarudiana na Waydad
 
Asec ameshinda mabao 2 0 ugenini leo, nini maana yake? Ameshaokota pointi 7 now, mechi 3 alizobakisha mbili atakuwa nyumbani, atacheza na Gwanengy kwake na atamalizia na Simba, hao wote atawaua maana wana moto sio wa kawaida...
Siyo wewe uliyesema hauiongelei tena Simba au nimekuchanganya? Ila kama umerudi kundini siyo mbaya pia.
 
Asec ameshinda mabao 2 0 ugenini leo, nini maana yake? Ameshaokota pointi 7 now, mechi 3 alizobakisha mbili atakuwa nyumbani, atacheza na Gwanengy kwake na atamalizia na Simba, hao wote atawaua maana wana moto sio wa kawaida.

Gwanengy ana point 4, mechi 2 anatoka, anamfuata Simba ambaye hajielewi, anamfuata Asec ambaye ni wa moto, atacheza na Wydad kwake pale Botswana.

Ili Simba afuzu ni lazima leo aidha atoke sare au amuue Wydad mwa sababu Wydad akishinda leo atakuwa na 3, atamsubiri Asec pale Morocco anaweza kumfunga akawa na 6, anakwenda kumbabua Gwanengy pale pale Botswana anakuwa na 9, hapa Taifa na Simba kwa sababu Simba haieleweki anaweza kukamata sare, hapo ndio utakuwa mwisho wa Simba.

Ili Simba afaulu ahakikishe leo hapotezi kule Morocco lakini ataweza? Simba anatakiwa hapa nyumbani basi amfunge Wydad kama leo atafungwa ili wagawane mbao, yaan Simba akishinda hapa bongo mechi zake 2 anaweza kufuzu lakn leo ahakikishe hafungwi, changamoto Wydada leo hawezi kuvuliwa ubingwa iwe isiwe.
Na mnakanyagwa Leo whydad awezi kukubali afungwe mechi 3 mfululizo Tena afungwe na timu iliyojifia Kama mwakarobo🤣🤣🤣
 
Asec ameshinda mabao 2 0 ugenini leo, nini maana yake? Ameshaokota pointi 7 now, mechi 3 alizobakisha mbili atakuwa nyumbani, atacheza na Gwanengy kwake na atamalizia na Simba, hao wote atawaua maana wana moto sio wa kawaida.

Gwanengy ana point 4, mechi 2 anatoka, anamfuata Simba ambaye hajielewi, anamfuata Asec ambaye ni wa moto, atacheza na Wydad kwake pale Botswana.

Ili Simba afuzu ni lazima leo aidha atoke sare au amuue Wydad mwa sababu Wydad akishinda leo atakuwa na 3, atamsubiri Asec pale Morocco anaweza kumfunga akawa na 6, anakwenda kumbabua Gwanengy pale pale Botswana anakuwa na 9, hapa Taifa na Simba kwa sababu Simba haieleweki anaweza kukamata sare, hapo ndio utakuwa mwisho wa Simba.

Ili Simba afaulu ahakikishe leo hapotezi kule Morocco lakini ataweza? Simba anatakiwa hapa nyumbani basi amfunge Wydad kama leo atafungwa ili wagawane mbao, yaan Simba akishinda hapa bongo mechi zake 2 anaweza kufuzu lakn leo ahakikishe hafungwi, changamoto Wydada leo hawezi kuvuliwa ubingwa iwe isiwe.
Wydad avuliwe ubingwa upi?
Hivi kwa nini watu wengi wanadhani Wydad ndio bingwa mtetezi?
 
Mlisema ili yanga afuzu ilikuwa lazima ampige madeama kule ghana, amedroo ila bado mnamatumaini
 
Back
Top Bottom