Asec Wana makombe mawili ya Africa

Gordian Anduru

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2021
Posts
369
Reaction score
747
Asec Mimosas ya Ivory coast ilichukua caf champions league mwaka 1998 mwaka ambao pia Yanga ya TZ. Ilishiriki.

Pia Asec walichukua super cup 1999 kombe linalotolana na mechi kati ya bingwa wa cafcl na kombe la washindi barani Africa Bado Niko chimbo hapa Tanganyika library natafuta idadi ya makombe ya Africa waliyoçhukua Simba sc
 
Ukishafakamia uji wa mhogo unaiota Simba tu mbona husemi timu za kwenu [emoji1139]
 
Nitafutie makolo kama yashawahi fika hata nusu fainali
 
5imba anamakombe matano mfululizo ya mwakarobo fainali
 
Makombe ya mwakarobo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…