Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Haya bwana.
Hahaaaa...mleta uzi sa hizi yupo chakari hakumbuki tena uzi wake.
Ila nimeipenda kauli mbiu yake:
"Unakunywa maji kwani we Rejeta"
Pombe ni mbaya
Sijawahi muona mlevi akifanya vitu vya maana ni mwendo wa kufail
Mweeee!! Hahaa umetishaBia mbili za mwanzo ni tamuu mnooo....
Aliegundua bia apunguziwe adhabu ya kaburi huko alipo.... Amen
Hivi kwanini wanaoenda kuandika za siku tano kama vile wameambizana?Huyu Doctor aliyeniandikia hii dose ya siku tano sina imani naye
Shishia kitu barrrrrrrrrrrrrd
Kweli walevi tuna nguvu...sikutegemea huu uzi ungekuwa na comment nyingi kiasi hiki ukizingatia umeanzishwa kimasihara
ishia hapo-hapo.Bia ni tamu kuliko hata Papuchi aisee
ishia hapo-hapo.
Eti mapombe unatukanaje vyakulaTulio Acha kunywa mapombe tukutane hapa.
HahahaaaBia mbili za mwanzo ni tamuu mnooo....
Aliegundua bia apunguziwe adhabu ya kaburi huko alipo.... Amen
Figo ikiwa imegoma sio tutakuja aiseeKunywa bia baadae utatukuta kwenye dialysis tukunyooshe
Yaan utaongea na yeyote hata unaemuonea aibu pombe buanaila bia inaleta feelings nzuri sana. Wasiokunywa wanakosa mambo mengi
Ila kweli wasiokunywa ni wambea na masnitchLakini watu wasio kunywa pombe nao wana mishe fulani za kufatilia maisha ya wengine, unafiki unafiki na wivu.
Hakikisha haunywi na hauwi na tabia za hivyo.
[emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16]umenichekeshaNiliacha 2015.lakin Mwaka huu mwez wa tatu nilirud kundini mana siku hiyo nilikuwa nimekutana na jamaa yangu anatoka Mtwara. Anapitia dar then tanga tutakaaaa pale PAPICHURO jamaa anagonga VITU nikaona ngoja nA MIMi nibust moja aiseee nilizitwanga sana Hadi Leo hii Pombe Siachi
Wala mkuuBila shaka wewe utakuwa kama Bilgate