Kunywa bia baadae utatukuta kwenye dialysis tukunyoosheBia yeyote tu ilimradi inalewesha, kunywa soda ufe na kisukari
Unakunywa mabia magumu ili iwejeBia za kindergarten hizo[emoji14][emoji125]
We kunywa maji utaishi mpaka karne ya 30Kunywa bia baadae utatukuta kwenye dialysis tukunyooshe
Kunywa maji ukute ni machafu ukutwe na kipindupinduKunywa bia baadae utatukuta kwenye dialysis tukunyooshe
Ili niwe mgumu zaidi...konkiUnakunywa mabia magumu ili iweje
We kunywa maji utaishi mpaka karne ya 30
Ili niwe mgumu zaidi...konki
unakunywa kibo nini mzee,naona kichwa kimepata moto teari na heading umeigeuza,utakua unachat mkono mmoja bia mwingine simu,Baada ya Pilika Za Kutwa Nzima Ya Leo Nikaona Jioni Hii Nikae Kilingeni Nipate Moja Moto Moja Baridi Niondoe Uchovu Mwingi Wa Kutumikisha Akili Na Mwili Wangu. Asee Bia Zinashuka Tuu No Tamu Balaa Yani Hapa Nahisi Poa Sana.
PS. Tafuta Pesa Kisha Tumia Urudishe Pesa Kwenye Mzunguko Na Wengine Wapate.
Mambo mengi muda mchache Mkuu hahahunakunywa kibo nini mzee,naona kichwa kimepata moto teari na heading umeigeuza,utakua unachat mkono mmoja bia mwingine simu,
ila bia inaleta feelings nzuri sana. Wasiokunywa wanakosa mambo mengiBia ni chungu sijui watu wanaipendea nini
Nyepesi mnoSerengeti Lite Bia pendwa kwa awamu hii
mbona bia imeisha mkuuHali ya hewa kilindi leo jua halijatoka so bia zinashuka kweli kweli.View attachment 1103206View attachment 1103207View attachment 1103208
bia imeisha io mkuu,piga picha ingine yenye bia tatu zilizofunguliwa kama ni kweli uko barHali ya hewa kilindi leo jua halijatoka so bia zinashuka kweli kweli.View attachment 1103206View attachment 1103207View attachment 1103208
Hali ya hewa kilindi leo jua halijatoka so bia zinashuka kweli kweli.View attachment 1103206View attachment 1103207View attachment 1103208
Bia ni chungu sijui watu wanaipendea nini
Kula Bia WeWe, unakunywa maji wewe REJETA??
Inakuaje?Yes huwa machungu..ht mm niishafeli...ila jaman chukua Valuer mix na koka..dah..ile ladha ile๐ค
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]Bia mbili za mwanzo ni tamuu mnooo....
Aliegundua bia apunguziwe adhabu ya kaburi huko alipo.... Amen