Asee Bia In Tamu Sana

Asee Bia In Tamu Sana

Baada ya Pilika Za Kutwa Nzima Ya Leo Nikaona Jioni Hii Nikae Kilingeni Nipate Moja Moto Moja Baridi Niondoe Uchovu Mwingi Wa Kutumikisha Akili Na Mwili Wangu. Asee Bia Zinashuka Tuu No Tamu Balaa Yani Hapa Nahisi Poa Sana.

PS. Tafuta Pesa Kisha Tumia Urudishe Pesa Kwenye Mzunguko Na Wengine Wapate.
unakunywa kibo nini mzee,naona kichwa kimepata moto teari na heading umeigeuza,utakua unachat mkono mmoja bia mwingine simu,
 
Hali ya hewa kilindi leo jua halijatoka so bia zinashuka kweli kweli.
1558372860621.jpeg
Screenshot_20190520-201956.jpeg
Screenshot_20190520-202008.jpeg
 
Wazee wa bia za bei rahisi Eagle, pilsner na senator hoyeees
 
Back
Top Bottom