mkuu usijaribu,kaa na aina iyoiyo ya ulevi ulionayo,ulevi wa pombe sio mzuri๐๐
Nitakupa mrejesho
We Iive once..!lol
mkuu usijaribu,kaa na aina iyoiyo ya ulevi ulionayo,ulevi wa pombe sio mzuri
Siku nikiweza nitajaribu
Kauli mbiu ni kuhave good life,kuenjoy
Kauli mbiu ni kuhave good life,kuenjoy
mkuu usijaribu,kaa na aina iyoiyo ya ulevi ulionayo,ulevi wa pombe sio mzuri
Ale aleeewh kauli mbiu
Usifanye hivyo, valuer?
sjakunyima mkuu,angalia na mkichwa umejaa nini nisikunyime stimu bureAsante mkuu
Hahaha mm hapa nna kiu balaa..namsindikiza Rafiki angu na mfungo๐ ๐ tukifungulia lol..
Ikoje hiyo?ina nini?
sjakunyima mkuu,angalia na mkichwa umejaa nini nisikunyime stimu bure
Hiyo inabidi uwe mzoefu, nyingi ni fake fake, so inaweza kuzingua.
Aah mie sijawahi kuzielewa pombe ila nitajaribu hiyo ya kumix na coca
Ikiwa fake ukinywa inazinguaje?
Mka anzishe uzi wenuTulio Acha kunywa mapombe tukutane hapa.