Asee Bia In Tamu Sana

Asee Bia In Tamu Sana

kuna jama mvua na utelezi vinamsumbua akishalewa anabishana na utelezi,nilikutana nae ameanguka kama mara 60 hivi
 
Ikiwa fake ukinywa inazinguaje?

You are so curious, mimi valuer kidogo ziniuwe, nikaja kuambiwa nimekunywa fake. Na zilikuwa nyingi sana mtaani.

Nakumbuka nimekunywa kiasi, nikaenda nyumbani, usiku nilitapika, asubuhi yote nikatapika, koo liliungua, nikapata vidonda mdomoni.

Toka hapo, ni zaidi ya miaka 8 sijawahi tena kunywa valuer, na simshauri mtu.
 
Back
Top Bottom