Hahaaaa...mleta uzi sa hizi yupo chakari hakumbuki tena uzi wake.mimi pia hizo kali siwwz..najinywea tamu tami tu
Mimi nipo hom bwana..mwezi.wote huu sijanywa
Acha mkuuBia inatiririka jasho
You are so curious, mimi valuer kidogo ziniuwe, nikaja kuambiwa nimekunywa fake. Na zilikuwa nyingi sana mtaani.
Nakumbuka nimekunywa kiasi, nikaenda nyumbani, usiku nilitapika, asubuhi yote nikatapika, koo liliungua, nikapata vidonda mdomoni.
Toka hapo, ni zaidi ya miaka 8 sijawahi tena kunywa valuer, na simshauri mtu.
faru john,au mnyama k vantBora ulevi wa nini
mkuu unaharibu akili za watu,wanavurugwa wakiskia unakula biaBia inatiririka jasho
Pole sana
Kuna watu watakuwa hawajui kutofautisha ipi fake na yenyewe...ila jaribu kuacha kabisa kutumia pombe,kama unaweza lakini
Mie pia nilishakunywa mara moja chupa moja nzima ya wine fulani,sikulala kwa kutapika mixer homa kali
Usijali mkuu...tutataftanaTutafutane tupige bia
Hahaaaa...mleta uzi sa hizi yupo chakari hakumbuki tena uzi wake.
Ila nimeipenda kauli mbiu yake:
"Unakunywa maji kwani we Rejeta"
Kitu muhimu ni kuepuka pombe ambazo brands zake ni questionable.
Na pia, kitu muhimu sana kuangalia expiry dates.
Bora unywe KVant tuu
Acha tuu babe😩Eeenh toka lini
Kweli ni muhimu
😂😂😂😂😂unahis kakufanyia fitnaHuyu Doctor aliyeniandikia hii dose ya siku tano sina imani naye
Hebu subiri ninaniliuKama unataka mix standard, jaribu Jack Daniels (JD) kwa kuchanganya na Coca Cola au Stoney Tangawizi.
Hiyo ni zaidi ya wine.
DyadyaaaMimi hapa,.
Ambao hatujawahi kuonja pombe tangu kuzaliwa tunakomenti wapi?