Asee Bia In Tamu Sana

Asee Bia In Tamu Sana

You are so curious, mimi valuer kidogo ziniuwe, nikaja kuambiwa nimekunywa fake. Na zilikuwa nyingi sana mtaani.

Nakumbuka nimekunywa kiasi, nikaenda nyumbani, usiku nilitapika, asubuhi yote nikatapika, koo liliungua, nikapata vidonda mdomoni.

Toka hapo, ni zaidi ya miaka 8 sijawahi tena kunywa valuer, na simshauri mtu.

Pole sana

Kuna watu watakuwa hawajui kutofautisha ipi fake na yenyewe...ila jaribu kuacha kabisa kutumia pombe,kama unaweza lakini

Mie pia nilishakunywa mara moja chupa moja nzima ya wine fulani,sikulala kwa kutapika mixer homa kali
 
Safi sana vere wele...wanywa bia mnatusaidia sana nchi yetu nyie ni wa thamani sana kwa maendeleo yetu
 
Pole sana

Kuna watu watakuwa hawajui kutofautisha ipi fake na yenyewe...ila jaribu kuacha kabisa kutumia pombe,kama unaweza lakini

Mie pia nilishakunywa mara moja chupa moja nzima ya wine fulani,sikulala kwa kutapika mixer homa kali

Kitu muhimu ni kuepuka pombe ambazo brands zake ni questionable.

Na pia, kitu muhimu sana kuangalia expiry dates.
 
Back
Top Bottom