Asee Bia In Tamu Sana

Asee Bia In Tamu Sana

Sijawahi waelewa wajevi kabisa[emoji134][emoji134]
Bia ina ladha mbayaaaaa, chunguuu. Ptuuu.
 
mbona bia imeisha mkuu
bia imeisha io mkuu,piga picha ingine yenye bia tatu zilizofunguliwa kama ni kweli uko bar
Tunaendelea mkuu siwezi danganya huku mara ya mwisho kuona jua ni siku ya ijumaa
IMG_20190520_210803.jpeg
 
Aisee! Hata wale wauza madawa ya asili husikii kabisa wakiisema bia, ila soda lazima waseme inachafua ini, bandama na kongosho[emoji848]
 
Back
Top Bottom