Aseeee wakuuu mpo salama

Aseeee wakuuu mpo salama

comrade_kipepe

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2019
Posts
3,411
Reaction score
4,435
Ase Mimi nimeona nijiunge huku sasa wenyeji nikaribisheni ..

Mimi mgeni kabisa na kamba mguunii naitwa kipepeee
 
hahahahah Comrade kipepe ,gazeti la sani,wewe utakua mhenga mwenzangu...heheheh..karibu sana JF
 
Wewe ni Comrade kipepe au Comrade kipepee!
 
Kipepe wale wenzako kina Sokomoko,Kobelo,Kitintale,Bob mikwara,Lodi lofa,Mzee meko,Pimbi,Madenge,Bob mazishi,Kiokote,Mapung'o,Chepe,na mzee Sukununu,wako wapi siku hizi? hivi ile team yenu ya Ma bush star bado ipo? mlikua mkisumbuana sana na mahasimu wenu Ma born town,

Karibu sana Jf Kipepe mzee wa nyika.
 
Asante sana .. Mapung'o nawasiliana nae daily hao wengine tunaonana nao fb tuuu

Back
Top Bottom