Uhusiano wa Wenger na arsenal ni kama ule wa magufuli na makonda! Endapo uhusiano wa magufuli na makonda ukiharibika basi kuna uwezekano mkubwa wa mkataba wa arsenal na Wenger usiongezwe! Ila kwa taarifa za chini chini zilizonifikia, inasemekana kuwa mzee ataachia timu ili akaoe kwanza hapo mwezi agosti na baada ya hapo atarudi kumalizia miaka yake miwili iliyobaki..........
Kama kuna jipya lolote litatokea tutafahamishana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.