ASFC: Yanga SC Imejitahidi, Lakini Sio Timu Bora.

demigod

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
8,292
Reaction score
15,250
Niwape pongezi wanajangwani.

Ila kwa jicho langu binafsi la tatu hii timu sio bora kivile.

Kwa mfano ikienda kushiriki LigiKUU nchini Uingereza almaarufu kama English Premier League, basi kwa uwezo huu itakuwa inamaliza nafasi kati ya 8 mpaka 13 kila msimu.

Ninashauri maboresho ya umakini yafanyike ili kuifanya wafikie ubora ambao wanaJangwani wanahitaji.
 
Ukiilinganisha na makolo je?
 
Wametoka droo na timu iliyotoka tanga timu ni costal ipo fresh imewatoa jasho yanga
 
Hata msemi hayo mavi yenu mara ngapi Ila sisi tulikuwa tunataka kikombe tu.. Hii iilkuwa ni Fainali na ni lazima iwe ni mechi ya aina yake.. Kila mtu aliyelipia na kuingia uwanjani amefurahia Kila alichokikuta.. ndo inavyotakiwa hv.. just imagine C.U hii ingebugizwa goli nyingi kama siku Ile tena mapema si ndo nyienyie mngekuja kuongea hapa.. mara hoo kakutana na kibonde.
C.U walijiandaa vyema na walijua wanakwenda kucheza na Timu Bora, me ni Yanga damu Ila nawapongeza sana C.U kwa ushindani waliouonesha umetufanya tutumie Kila mbinu ili tuwashinde na mwsho wa siku Timu kubwa ni kubwa tu.. Ni Bora mara 10 tumekutana na hawa C.U wameonesha uwezo kuliko tungekutana Fainali na nyie Makolo maana nyie tunawapigaga ndani ya dakika 90 tu.
Kitu kinaitwa wivu ni kibaya sana.. mtazungumza sana Ila yote msemayo ni MAVI.
Tunakwenda Club Bingwa na lazima tufike nusu Fainali mwaka huu
 
Ila mashabiki wa utopolo wengi ni mamburula sana. Huu uzi unaisifia utopolo maana katika uhalisia ukiachana na epl, championship, league one utopolo hata kwenye league two haina uwezo wa kumaliza nafasi ya 13 lakini cha kushangaza mishabiki ya uto haijaelewa uzi wa uto mwenzao.
 
Makolo on fleeeek!!
Safari hii mtavimba midomo kwa kuongea
Yanga πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›
Uto mwazko huyo ameandika ukweli ambao ni mchungu sana
Hatupendi yale ya dar 2 lagos yatokee tena
 
Afadhari hiyo ni ligi kubwa sana kama hata epl yanga hashuki si msimu mmoja tu wapili anachukua ndoo

Nimekupenda sana mkulu

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
 
Bado wangesema wamedhaminiwa na GSM C.U

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
 
Wachezaji wa Yanga jana hawakuwa mchezoni pressure ya matokeo iliwapoteza, kila walipotaka kutulia kimchezo coast union walikuwa wamoto, kilichooibeba Yanga ni uzoefu na mbinu za kocha Nabi
 
Mimi ni Yanga sipendezwi na Manara kwq hulka yake ila huwa naheshimu maisha mtu binafsi as long as kila mtu ana mbinu zake na style ya maisha yake kupambania mafanikio so kama anafanikiwa kwangu mimi siwezi mdharau au kumbeza
 

Kwenye CAF CL mnaondolewa hatua ya awali tena kwa staili yenu ile mnayopenda ya kupigwa nje ndani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…