rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
Timu haipo hats 50 bora afrika inazungumziwa kucheza EPL labda ya ndondo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huku Kocha wa Madrid akiwa PabloNa Spain itakua ya tatu hii au 4
Ile ndo YANGA ikiwa haijanunua mechiNiwape pongezi wanajangwani.
Ila kwa jicho langu binafsi la tatu hii timu sio bora kivile.
Kwa mfano ikienda kushiriki LigiKUU nchini Uingereza almaarufu kama English Premier League, basi kwa uwezo huu itakuwa inamaliza nafasi kati ya 8 mpaka 13 kila msimu.
Ninashauri maboresho ya umakini yafanyike ili kuifanya wafikie ubora ambao wanaJangwani wanahitaji.