Niwape pongezi wanajangwani.
Ila kwa jicho langu binafsi la tatu hii timu sio bora kivile.
Kwa mfano ikienda kushiriki LigiKUU nchini Uingereza almaarufu kama English Premier League, basi kwa uwezo huu itakuwa inamaliza nafasi kati ya 8 mpaka 13 kila msimu.
Ninashauri maboresho ya umakini yafanyike ili kuifanya wafikie ubora ambao wanaJangwani wanahitaji.