Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Bora wamfunge tu, ingawa huenda hana akiri timamu, maana miaka 15 hata hajui kumkojoza mwanamke, ye alifata nini wakati kuna ma rijali wanaita kila anaekatisha mbele yao?MAHAKAMA ya Wilaya ya Mtwara, imemhukumu kifungo cha maisha jela, Asha Chanchoni (47) kwa kosa la shambulio la aibu, baada ya kubainika kujihusisha kimapenzi na mvulana mwenye umri wa miaka 15.
Hukumu hiyo imetolewa na Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama hiyo, Lucas Jang’andu, ambapo amesema Mahakama imethibitisha bila kuacha shaka kuwa mwanamke huyo alikuwa akijihusisha kimapenzi na mvulana huyo.
kwa mwanamke inaitwa shambulio la aibu ila kwa mwanaume hapo ingesomeka ubakaji.Asha Chanchoni (47) kwa kosa la shambulio la aibu, baada ya kubainika kujihusisha kimapenzi na mvulana mwenye umri wa miaka 15
Hivi hakuna wanasheria hapa watufafanulie imekaaje hiyo?kwa mwanamke inaitwa shambulio la aibu ila kwa mwanaume hapo ingesomeka ubakaji.
ajabu..!
hata mimi nimeshangaa.Hivi hakuna wanasheria hapa watufafanulie imekaaje hiyo?