dudus
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 23,782
- 54,213
Utekwe halafu ufaki! How? Maumbile ya kiume yanakataa!heee! kivipi tena?
na vipi mwanamke akiniteka na kunilazimisha nmfaki bila ridhaa yangu.
hapo yena vipi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utekwe halafu ufaki! How? Maumbile ya kiume yanakataa!heee! kivipi tena?
na vipi mwanamke akiniteka na kunilazimisha nmfaki bila ridhaa yangu.
hapo yena vipi?
Kunajisi siyo kubakakwa mwanamke inaitwa shambulio la aibu ila kwa mwanaume hapo ingesomeka ubakaji.
ajabu..!
uko kunajisi hakusababishi mimba au magonjwa?Kunajisi siyo kubaka
😂😂😂0654257148. Asha naomba nitafute humo
Kumbuka ni Mtwara huko! Wanaanza mambo wakiwa wadogoBora wamfunge tu, ingawa huenda hana akiri timamu, maana miaka 15 hata hajui kumkojoza mwanamke, ye alifata nini wakati kuna ma rijali wanaita kila anaekatisha mbele yao?
Makosa yote yametengenezwa na sheria na yametafsiriwa na sheria.Siyo suala kila mtu kujiamuliauko kunajisi hakusababishi mimba au magonjwa?
vikojoleo havikutani?
Atatoka kwa msamaha huyo.Sasa huyu anaenda kula kodi zetu bure mwaka mzima kosa lenyewe hilo kweli?...
Apewe adhabu nyingne
Tucheke tu mkuu
AiseeMahakama ya Wilaya ya Mtwara, imemhukumu kifungo cha maisha jela, Asha Chanchoni (47) kwa kosa la shambulio la aibu, baada ya kubainika kujihusisha kimapenzi na mvulana mwenye umri wa miaka 15.
Hukumu hiyo imetolewa na Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama hiyo, Lucas Jang’andu, ambapo amesema Mahakama imethibitisha bila kuacha shaka kuwa mwanamke huyo alikuwa akijihusisha kimapenzi na mvulana huyo.
Moyo wake haujawapenda hao wahuni.Aiseee hatari sana ,Asha amefeli sana ,kuna wahuni kibao wapo kitaa wanatafuta pa kusuzia rungu.
Miaka 47 bado ni mwanamke wa makamo hajafikia uzeeAsha kazingua kwanini kabaka mjukuu wake!!?
Atakuwa na changamoto ya afya ya akili, ni ngumu sana mwanamke kutenda kitu km hiko.
Kwahiyo ni halali??Miaka 47 bado ni mwanamke wa makamo hajafikia uzee
Inategemea.Kwahiyo ni halali??
Moyo wake haujawapenda hao wahuni.
Mhmmm!!Inategemea.
Tucheke tu mkuu